Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Out of Context je hiyo ni picha ya mnyama kama mlivyo weka? 🤣🤣🤣
Tanzania inawaumiza sana kichwa. Everyday you copy from Tanzania. I believe now kenya do not have designers.
I am proficient in design myself. I’m conversant with 50% of the adobe master collection including coreldraw. Plus that’s not even my uni major, just self taught.
That’s why i am wondering how tf that can be considered a copy-paste. Si you guys sue KQ then.

Point to nite: You will be excited to know that Kenyans designed some of your most iconic buildings
 
Ujue wewe unanichekesha sana 🤣🤣 sasa ni wapi pameandikwa kwamba hizo 140 new dialysis machines ndio za kwanza kuwepo Tz, kwamba we never have them before.? We mnuka mavi vipi bhana? 😂😂😂
Sasa kama hospitali za mkoa 11 pekee ndio zikona dialysis machine. That should answer your question.
 
Je, kuna jengo zuri kama hilo hapo kenya?

Also umekubali sasa KQ trying to copy Air Tanzania idea.
 
Tanagagiza ikona only 5 Zonal Hopspitals pekee. Bado muko nyuma kama matako. 😂 😂 😂 Na ujue more hospitals have been upgraded to level 5 baada ya kufanyiwa improvements on facilities.




View: https://x.com/Nakhumicha_S/status/1622594546742988800?s=20

View: https://x.com/AnneWaiguru/status/1668239356480438272?s=20
 
Another level 5


 
That’s Kenya Air Force Special Forces.. ( RDS )… they are trained and equipped by the US …… Poor Tanganyika soldier… look at him.. I feel sorry.. he looks shocked by the Kenyan style..🤣🤣🤣…. But why would Bongo send their Army looking like that to a country that will definitely make fun of their sad situation?… whoever is in charge should be fired .. that’s the part of foreign policy we call national integrity… Bongo has none..Mama Samia.. I hope you are listening…🤣🤣🤣🤣
 
Sasa kama hospitali za mkoa 11 pekee ndio zikona dialysis machine. That should answer your question.
😂😂😂 We jamaa kweli ni mpunga wewe. 140 machines ni ingizo jipya, ila tulishakuwanazo before . Hapa DAR pekee zipo hospital karibu 20 zenye ziko na dialysis machines, make google your good friend, usijitie aibu mpumbavu wewe 😂😂😂
 
Narok County Teaching and Referral Hospital Level 5

Kijana Wamalwa Teaching and Referral Hospital Level 5



Kilifi County Referral Hospital Level 5
 
Tangagiza ikona only 1 national hospital. Hata sijui mbona na waste time on this topic.
Wewe kima empty talks za nini mzee twende ground 😂😂, post hizo national hospitals za kenya outside Nairobi. kwanini uongee maneno matupu.?
 
Which Sport is Tanzania good at?


They are number 21 out of 29, possible positions. Kenyan is number 6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…