Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo sijakataa. Ulisema mlikataa kambi yao kisa hiyo ni ubepari lakini wakiwaalika kwenye mazoezi huo sio ubepari
Mbona mataifa ya communists yanafanyaga joint millitary exercise na USA bila shida???
Huu ushamba umeutolea wapi??
Kwani Russia haijai fanya joint exercise na USA??
 
Does Tanganyika even has..❌
Does Tanganyika even have.. ✅
Congratulations bongolala. Naona jf inazidi kufanya makubwa.

Now back to basics, does Tanzania have a women's volleyball national team?
 
Hatua gani mnapiga? Ama ya kuwa na zero wins in AFCON history?
1)Ligi yetu imepanda hadhi duniani kuwa nafasi ya 64 na Afrika nafasi ya 6.
2)Tumepanda nafasi 16 ndani ya miaka miwili katika viwango vya Fifa.
3)Timu zetu huleta mapato mengi kila mwaka kutoka klabu bingwa Afrika.
Je hizo sio hatua(hususan no.2)??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…