Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,193
- 107,792
Kwahiyo tuwe Kama Zimbabwe yenye sanctions, mpumbavu wa wapi wewe?Tzn wakati mwingine tuwe tunafikiria Kwa upana wa mambo.Faida za mradi sio direct revenues pakee ambazo ndio wanang'ang'ania huko kwenye majadiliano.
Faida ni pamoja na zitokanazo kama Ajira,CSR projects,bidhaa zilizopo kwenye mnyororo wa thamani tunazoweza ku offer kama saruji,nondo nk,umeme,maji etc.
Hii kung'ang'ania direct revenues ndio inasbababisha investors kukimbia maana Dunia ni ya ushindani na Mali inapatikana kwingineko vile vile.Hiaezekani hujaweka mtaji,teknolojia Wala soko huna ila unataka let say 40/60 kisa una Mali,hii haipo.
Kama Investors wako tayari kutoa 25-30% ni Bora kuchukua maana wao ni risk taker Toka wakati wa exploration ila Nchi itapata faidia zitokanazo na uwekezaji kama nilivyoeleza hapo Juu.
Uganda wangekomaa na faidia kubwa hakuna kampuni ingejenga hata EACOP wakati Mafuta ni ya kuunga unga na Yana koma.miaka 20 tuu ijayo.
Zimbabwe,Guinea na Mozambique wangekomaa kijinga jinga kuhusu Madini ya Chuma wawekezaji wangeseoa na ingesalia stori za kijinga kama Liganga na Mchuchuma Toka tunazaliwa na tunazeeka hakuna kinachoendelea na watu wanakufa kwenye umaskini.
Rais ingilia kati toa uamzi Moja kwa.moja ,Bora lawama kuliko fedheha.
Mpumbavu ni wewe zee jinga.Hoja ya uwekezaji inahusikaje na sunctions? Nimetolea mfano wa Nchi ngapi hapo? Hata Zambia na DRC hawana masharti ya kisengerema.Kwahiyo tuwe Kama Zimbabwe yenye sanctions, mpumbavu wa wapi wewe?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tzn wakati mwingine tuwe tunafikiria Kwa upana wa mambo.Faida za mradi sio direct revenues pakee ambazo ndio wanang'ang'ania huko kwenye majadiliano.
Faida ni pamoja na zitokanazo kama Ajira,CSR projects,bidhaa zilizopo kwenye mnyororo wa thamani tunazoweza ku offer kama saruji,nondo nk,umeme,maji etc.
Hii kung'ang'ania direct revenues ndio inasbababisha investors kukimbia maana Dunia ni ya ushindani na Mali inapatikana kwingineko vile vile.Hiaezekani hujaweka mtaji,teknolojia Wala soko huna ila unataka let say 40/60 kisa una Mali,hii haipo.
Kama Investors wako tayari kutoa 25-30% ni Bora kuchukua maana wao ni risk taker Toka wakati wa exploration ila Nchi itapata faidia zitokanazo na uwekezaji kama nilivyoeleza hapo Juu.
Uganda wangekomaa na faidia kubwa hakuna kampuni ingejenga hata EACOP wakati Mafuta ni ya kuunga unga na Yana koma.miaka 20 tuu ijayo.
Zimbabwe,Guinea na Mozambique wangekomaa kijinga jinga kuhusu Madini ya Chuma wawekezaji wangeseoa na ingesalia stori za kijinga kama Liganga na Mchuchuma Toka tunazaliwa na tunazeeka hakuna kinachoendelea na watu wanakufa kwenye umaskini.
Rais ingilia kati toa uamzi Moja kwa.moja ,Bora lawama kuliko fedheha.
Gesi haiozi.Tzn wakati mwingine tuwe tunafikiria Kwa upana wa mambo.Faida za mradi sio direct revenues pakee ambazo ndio wanang'ang'ania huko kwenye majadiliano.
Faida ni pamoja na zitokanazo kama Ajira,CSR projects,bidhaa zilizopo kwenye mnyororo wa thamani tunazoweza ku offer kama saruji,nondo nk,umeme,maji etc.
Hii kung'ang'ania direct revenues ndio inasbababisha investors kukimbia maana Dunia ni ya ushindani na Mali inapatikana kwingineko vile vile.Hiaezekani hujaweka mtaji,teknolojia Wala soko huna ila unataka let say 40/60 kisa una Mali,hii haipo.
Kama Investors wako tayari kutoa 25-30% ni Bora kuchukua maana wao ni risk taker Toka wakati wa exploration ila Nchi itapata faidia zitokanazo na uwekezaji kama nilivyoeleza hapo Juu.
Uganda wangekomaa na faidia kubwa hakuna kampuni ingejenga hata EACOP wakati Mafuta ni ya kuunga unga na Yana koma.miaka 20 tuu ijayo.
Zimbabwe,Guinea na Mozambique wangekomaa kijinga jinga kuhusu Madini ya Chuma wawekezaji wangeseoa na ingesalia stori za kijinga kama Liganga na Mchuchuma Toka tunazaliwa na tunazeeka hakuna kinachoendelea na watu wanakufa kwenye umaskini.
Rais ingilia kati toa uamzi Moja kwa.moja ,Bora lawama kuliko fedheha.
Ila me hunikumbuki shabiki mwenzio wa Man U, nakumbuka kuna siku tulitofautiana kwa ule Uzi kuhusu suala la Ronaldo.
Anyway Man U siku hizi inatia hasira.
Teknolojia haikusubirii wewe,value ya Mafuta miaka Ile ni tofauti na Sasa wakati Kuna magari ya umeme na gas vivyo hivyo itakuwa Kwa gas.Gesi haiozi.
Hayo magari yenyewe yanachajiwa na umeme wa fossil fuel, kwani unafikiri huo umeme unatoka kwenye jua?Teknolojia haikusubirii wewe,value ya Mafuta miaka Ile ni tofauti na Sasa wakati Kuna magari ya umeme na gas vivyo hivyo itakuwa Kwa gas.
Makaa ya mawe Kwa Sasa hayana wateja ni kama useless
Kanafurahisha sana.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣