Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni mimi nilimwambia kuwa tuna viwanja vikubwa tayari MKAPA na Amaani vinauwezo ingiza zaidi ya mashabiki 40k kwa pamoja.
Yeye akashikilia Amaan stadium peke akee!
Does Amani Stadium has a capacity of 40k people? Yes or no
 

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kuwa michoro kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu jijini Dodoma umekamilika na mkandarasi atakabidhiwa eneo Machi 2023.​


 
Kuna miji za kiafrika zimejipanga ku rival levels za Dunia ya Kwanza infrastructure wise,kwa mfano cheki hii Egyptians new capital πŸ‘‡vs Washington DC πŸ‘‡halafu kuna mbwa za North zinajipa umuhimu hapa Africa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
4 km away from DODOMA city centeroya nyie wanuka mavi hii ni financial center mpyaa ya hapo mjini Dom .. nyie mbwa KANAIRO NairobiWalker. Nicxie mwaiofhawaii Teargas na mbwa wengine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ msijifanye hamjaona hii .. DODOMA inakua kwa light speed hiyo si hata gvt city, wala si DODOMA city center, it's just a new development
 
Ni mimi nilimwambia kuwa tuna viwanja vikubwa tayari MKAPA na Amaani vinauwezo ingiza zaidi ya mashabiki 40k kwa pamoja.
Yeye akashikilia Amaan stadium peke akee!
Yani unaweza stadium mbili pamoja ndio zifike 40k capacity na unajipiga kifua Na hiyo? Kweli iko shida.🀣🀣
 
Nyongeza hizi hapa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…