Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 915
- 1,091
Groundbreaking hii hapa. Hivi zile za Bongo wameanza ujenzi?Unauliza about funding wakati groundbreaking ishafanyika meaning kazi imeanza rasmi!
Round hii mtalilia chooni😆
Pole bongolala Kwa maumivu. Those were done by county governmentsI like the way you desperately said you HOPE 😀😀😀
Hizi ndio vitu gok hufanya.
View attachment 2921371View attachment 2921370
Kenya sio Tanzania, mtaishia kuchekesha tu, tafadhali post GTC ya mchina na vile vi apartments vya foreigners, apo Kenya kwishaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unauliza about funding wakati groundbreaking ishafanyika meaning kazi imeanza rasmi!
Round hii mtalilia chooni😆
Ujenzi gani wakati wanafanya recycling!Groundbreaking hii hapa. Hivi zile za Bongo wameanza ujenzi?
View: https://twitter.com/WilliamsRuto/status/1763470170616439250
Hivi ni kweli kuwa Kundustan ni Kenya?Pole bongolala Kwa maumivu. Those were done by county governments
Kwamba unatutishia nini.? Au mie ndio sijaelewa.? 🤣🤣🤣Unauliza about funding wakati groundbreaking ishafanyika meaning kazi imeanza rasmi!
Round hii mtalilia chooni😆
Napenda vile wameweka running track nje ya main stadium. Viwanja vingi vya Africa huwa havina envrionment poa kama vya ulaya kisa vimezungukwa na running track na kufanya mashabiki wawe mbali sana na action.Ujenzi gani wakati wanafanya recycling!
They are not building anything from scratch for AFCON. They are simply renovating their rundown facilities
Vi apartments vya foreigners?😂😂Kenya sio Tanzania, mtaishia kuchekesha tu, tafadhali post GTC ya mchina na vile vi apartments vya foreigners, apo Kenya kwishaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
The first one of its kind in East and Central AfricaNapenda vile wameweka running track nje ya main stadium. Viwanja vingi vya Africa huwa havina envrionment poa kama vya ulaya kisa vimezungukwa na running track na kufanya mashabiki wawe mbali sana na action.
Anadhani Nairobi kuna apartment mbili.😂Vi apartments vya foreigners?😂😂
Kumbe huwa zinakuumiza sana?
I had no idea.
Now tell me, which foreigners own these ones one by one?View attachment 2921482View attachment 2921483View attachment 2921484View attachment 2921485View attachment 2921488View attachment 2921489View attachment 2921487
Si eti hujaelewa, hujielewi!Kwamba unatutishia nini.? Au mie ndio sijaelewa.? 🤣🤣🤣
Hapo nimeweka hadi za Kisumu na MombasaAnadhani Nairobi kuna apartment mbili.😂
Hapana, ni Tandale kwa mfuga mbwaHivi ni kweli kuwa Kundustan ni Kenya?
Mbona mama Ngina anasema yeye ni anaishi Kundustan.Hapana, ni Tandale kwa mfuga mbwa
Naona rhythms zishaanza kubadilika! Kuna wenye washaanza kuona uwepo wa huo uwanja, tena ikijaa wakati wa AFCON. 😆😆😆Huo uwanja mpya wa kunyan utajaa watu wakati wa afcon baada ya afcon watafugia mbuzi na machokoraa
Am glad you laughed at a joke on you… Kibera na mama Ngina are our sarcasm central..😂😂Mama Ngina …🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tanzania kiviwanja tunahitaji marekebisho machache sanaaa.Groundbreaking hii hapa. Hivi zile za Bongo wameanza ujenzi?
View: https://twitter.com/WilliamsRuto/status/1763470170616439250
Unaonekana hujui kuhusu viwanja kabisa.Napenda vile wameweka running track nje ya main stadium. Viwanja vingi vya Africa huwa havina envrionment poa kama vya ulaya kisa vimezungukwa na running track na kufanya mashabiki wawe mbali sana na action.
I've never understood where you guys get the confidence to brag about stadiums. Which stadiums for heaven's sake?🤣Tanzania kiviwanja tunahitaji marekebisho machache sanaaa.
Sio kama ninyi,suala la viwanja vya mpira Tz usiguse kijana.
Wewe kweli ni kichaa 🤣🤣🤣 mpaka kufkia sasa sisi tayari tuko na viwanja viwili already kwaajili ya Afcon, hiv hapa 👇Naona rhythms zishaanza kubadilika! Kuna wenye washaanza kuona uwepo wa huo uwanja, tena ikijaa wakati wa AFCON. 😆😆😆
Polepole tutaelewaba tu mibongolalala
Hey you doubting Thomases!!!