hapo 1.14 lol.....when your math is not mathingkata funua ndani ya darislum uswazi hovels
View: https://twitter.com/ExMayorUbungo/status/1762061066803036456?t=XwKX8hwWFlOK6bHkYbokDQ&s=19
hapo 1.14 lol.....when your math is not mathing
Kilimani na parklands kuna nn 😂😂😂😂Kilimani, parklands,south c,Eastleigh na kileleshwa iko wapi???? Nairobi developed are is so huge bro
Remember my previous post… 2030… watch this spaceMore of such are coming up rapidly,, Nairobi will really change 5 years to come
Acceleration from 0-80km/h is always less than a minute in cars. For electric trains acceleration from 0-80km/h should be less than 30 secondsNkuulize we matako uwa ukiwasha gari at the same time uwa linaenda kwa speed ya km 80 per hour kwanza gari auna na physics ulifail we nakumudu 😀 😀 😁 😁 😁 😁
Is that a rhetorical question?… ati Kilimani and Parklands kuna nini?.. maybe you were dropped as a baby..🤣🤣Kilimani na parklands kuna nn 😂😂😂😂
Nairobi ukitoa CBD, Westland na upperhill inabaki nn ??😀😀😀😀
Huge wapi eneo la 696km sq wakat ndani yake kuna Nairobi national park almost 150km sq bado mapori na misitu another 200km sq
Haiya !!!.. ile Nyoka ya Best 007 imegeuka kuwa konokono….🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe mpuuzi hao jamaa wanafabricate news. Tuletee hapa hii taarifa toka ww.citizen.co.tz or source yeyote ile. Hao ni vijana wajinga wa Chadema.but they will defend mediocrity with their lives...lol
Unajua pesa ya uviko IMF walitoa trillion ngapi na mgao wa zanzibar ukawa ngapi? Samia anachukua mikopo kila siku inaenda kujenga zanzibar kwa dhamana ya Bara, Magufuli alijenga Chato kwa uwiano wa kila halmashauri Tanzania tena hata Dodoma aliipendelea zaidi lakini watu walimuita Mobutu, saivi kizimkazi inameremeta kwa kodi za tanganyika watu wala hawaongei 🚮🚮Samia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano, lkn hana maamuzi yoyote Zanzibar.
Yey kama yeye hana uwezo wa kupindua maamuzi ya Mwinyi.
Hii ni kama unajifurahisha tu kwasababu nyoka atakuja, zimebaki siku mbili ili tufike March ambayo tutampokea nyokaHaiya !!!.. ile Nyoka ya Best 007 imegeuka kuwa konokono….🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo nyang'au tayari ameshachaganyikiwa😎😎Mzee unapata maumivu makali sana 😂😂😂 sasa mbona ndio kwanza hayo ni majaribio tu ambayo TRC waliamua kuita vyombo vya habari, March tunashusha zile bullet trains si ndio utakufa kabisa wewe, mana chuma zipo majibu tayari
Huyu hapa na sio yeye tu kuna mpaka Anaconda wa ghorofa toka Germany. Mtaumia sana.Bongolalas promised us Anacoda but they delivered sponge Bob pet …🤣🤣🤣View attachment 2917636View attachment 2917637
Huyo jamaa yako alikuwa mayor wa Ubungo kwa miaka mitano alifanya nini cha maana? Acha wivu wa kinyang'au😎but they will defend mediocrity with their lives...lol