Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ushamba tu, have you seen tycoons boasting about visiting chengdu or visiting the city of Monaco? 😂😂😂
View attachment 2915903
My brother shida wewe una upepo wa kupenda vya wazungu, heb twende kwa data sasa uone hiyo ni takataka mbele ya Chengdu 🤣🤣🤣 Chengdu inapokea foreign visitors wengi kuliko major East Africa countries (TZ, KE, UG) combined 👇 total visitors ndio Africa nzima tukijiunga bado hatuipiti Chengdu pekee 👇and it's ranked the 59th in the world 👇 hii "Chengdu Sichuan, China - Far and Away Adventures" Chengdu Sichuan, China - Far and Away Adventures. Watu wanakuja kushangaa tu Blue buildings 👇. While Monaco in the other hand 👇ni ya 93rd duniani, watu hawatembelei tena hizi old cities, they are less impressive. Sikuhizi blue structure ndio habari ya Dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…