Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Endelea kusubiria chibongee...

Maana kuna wanaopata huduma ya Netflix bure bhas ndio wanajikuta wajuaji kweli....
Sijui mbona nyinyi watanzania huwa mkiambiwa mambo za Netflix, KFC, Java, Bolt, Uber plus other multinationals brands huwa mnakasirika sana?😂😂.

Nimekuuliza swali simple yet wewe unabweka matope hapa. Movie ya kwanza kutoka Tanzania ilionyeshwa lini Netflix?

Just answer that question😂😂
 
Unasema ukitaka kukasirisha Bongolala ambia yeye Netflix, KFC, Java, Bolt ama Uber.🤣
 
Hio inaonesha Tanzania kodi zake hutumika vizuri.
We unategemea private sector it means government sector yako ina poor performance.
Kazi ya serikali ni providing sufficient social services mathalan health services.
 
Kuna the kidnap pia ipo netflix
 
Unasema ukitaka kukasirisha Bongolala ambia yeye Netflix, KFC, Java, Bolt ama Uber.🤣
Hawajazoea ndio maana wanakasirika. Ingekuwa wamezoea hizo vitu ungeona venye wanajaza mapicha hapa.

Juzi yule pua kubwa alikuwa anasema ati sijaikula KFC nikamwambia kama anakunywa soda kibandaski asidhani kila mtu ni kama yeye.
 
Hio inaonesha Tanzania kodi zake hutumika vizuri.
We unategemea private sector it means government sector yako ina poor performance.
Kazi ya serikali ni providing sufficient social services mathalan health services.
I don't just like penye Kuna watu wengi. By the way do you know that Tanzanians come all the way to Kisumu kutibiwa?
 
I don't just like penye Kuna watu wengi. By the way do you know that Tanzanians come all the way to Kisumu kutibiwa?
Do you also know Kenyans come to MOI and JKCI for cardiac and orthopaedic treatment??
Those Tanzanians coming to Kisumu they might be living in Kenya or living in border towns to Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…