Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haiondoi ukweli kuwa you own Tecno cheapest phone in this galaxy πŸ˜€πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜€πŸ˜€
Go and search the Price of Apple Ipad 9th Generation alafu uniambie kama siezinunua Jamii Yako.
 
Jamaa kanalia kuliko katoto kadogo. Haka hakana kazi, hakana pesa, hakana Afya mzuri.


Kanazaja tu Dunia without bringing any benefit to the ecosystem.
Umesahau hakana masomo. Eti 'What kind of this question'. 🀣🀣🀣
 
Nilidhani mna chakula ya kutosha hata you β€œfeed” Kenya πŸ˜‚
Actually tuna food kama zote ila Msaada wa msamalia mwema anaekuja kukupa pole hukatai na humpangii.

Kenya mna njaa tutawalisha πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1758884799027020270?t=HDK8YzWm9QYn7k1Wjh7PEg&s=19
Tanzania ndio Regional Food BusketπŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1758539416358814192?t=uhfIXU5TWoLggEzLVTLgRg&s=19
 
Msaada wa chakula ni kwa ajili ya njaa. Kama mnapata msaada wa chakula ina maanisha kuna watu hawana chakula mahali kwa nchi yenu. Kiufupi, mna njaa.
Wenye njaa Huwa Wana exports food Kunyaland? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1758884799027020270?t=hYzLaMOmOXtgl2fVVPXFsA&s=19
Huwezi mpangia mtu anaekupa Msaada wa maafa au Janga Fulani ,got it? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1758539416358814192?t=bsQrZrPMukWCLsJ8agJi-Q&s=19
 
Unatumia Tecno sote tumeona hapo juu. Also You don't know how to drive car. Kila siku unatumia uber. Wewe ni maskini Number one hapo Kibera πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Sawa mjukuu wa kinjeketile ngwale.
 
Replication of office buildings ambazo already wako nazo wanaona ni maendeleo. Rais ana Ikulu Dar, nyingine inajengwa Dodoma wanaona hayo ni maendeleo. Ingekuwa nchi inayojielewa wengi wangequestion hiyo decision lakini wao wanaona ni flex. 🀣
Wewe ni mpumbavu wa mwisho zaidi, ikulu ya DODOMA au relocation of our capital to DODOMA ni suala ambalo ni la kimkakati, sababu za serikali kuhamia DODOMA kila leo zinaelezwa humu, lakini kwasababu wewe umejawa na chuki basi umechagua kujifanya haujui Chochote, watu wa namna kama yako ni mazezeta, na wala sitarajii kama kuna mtanzania atakujibu tena huu ufala wako🀣🀣🀣.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…