Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unachekesha ama umejaa ujinga, ukiona kitu kipo expensive let's say ardhi, etc ujue kuna status au ubora ndani yake vitu haviwezi kuwa expensive bila sababu, pia economy ya Kenya ni karibu mara mbili ya tanzanya ni aibu kujilingani
Kuna joke moja inasema "wakenya mnaishi kwenye shamba la bwana Kenyata" nahisi pia inachangia😂

Hv kipi kilianza kati ya kenya na kenyata?😅
 
KiberaWalker katika ubora wake 🤣 🤣 🤣
 
Jina la mradi ni magufuli city hahaha mradi ambao unamiaka 4 tu but kumefanyuka vitu vya adabu 😁😁😁😁😁
Dodoma is 78yrs lakini Bado inafanana na Isiolo. Again never call Dodoma a city. I have never seen a city with no industries.
 
Dodoma should not be called a City. Dodoma is a small town at best.
 
Effect of local production imeanza kuonekana Sasa. Import of motorcycles is reducing at a very high rate.

Wachawi nao wanaimport hadi viberiti.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…