Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni World Bank wamesema kwa official page yao that Tanzania is poorer than Kenya, enda uwapigie wao kelele. Miradi ipi hii that upto now you still have nothing to show? Vitu mnajenga na miaka kumi
World bank wamesema Kenya worse than Zimbabwe, last time I checked Zimbabwe was a failed state, so Kenya must be a double failed state country.
 
Huwa wana counter hoja kwa point 3 tu kama sio English ni currency kama sio currency ni gidipii 😂😂😂 case closed
Hata hiyo currency yenyewe washaacha kuongelea, mana washagundua currency lao bovu ukilinganisha na Tzs, currency lao halipo strong, now ni vipicha vya gtc, English na GDP (japo hata GDP nayo wameanza kustuka haina mpango wowote baada ya kuona Tanzania inafanya miradi mikubwa kuwaliko)
 
Kameshakasirika kasenge haka, yani ukiguza (ndo wanavyosema) simu yake tu kanakuja juu kweli kweli, si kanatumia Tecno, yani apo the day katanunua iphone dunia nzima itajua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nilikuambia Mimi sio rika Yako, mbwa.

 
Nyinyi mnakula mihogo imechemswa kama mahindi. Kenya mihogo imekuwa fried. There's a big difference there. Again in Tanzania mnakula mihogo asubuhi, lunch na dinner
No wonder kila mtu Ako na kwashiorkor Tanzania. In Kenya mihogo is for fun.
Hujui unachoongea wewe, Kunyaland yote kuna mambo kama haya wapi? KFC haiwezi kustrive bongo sababu ya mambo kama haya!


View: https://vm.tiktok.com/ZM6EcHA9g/
 
Nyinyi mnakula mihogo imechemswa kama mahindi. Kenya mihogo imekuwa fried. There's a big difference there. Again in Tanzania mnakula mihogo asubuhi, lunch na dinner
No wonder kila mtu Ako na kwashiorkor Tanzania. In Kenya mihogo is for fun.
Ni sehemu gani Kunyaland kuna haya maisha? KFC wanaweza hii ligi?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…