El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Pwahahaha inakaa Garissamji wa dodoma.....capital city ... hahaha
lazma mbandike ka roundabout ya kata funua ndani ya village towns of dodoma and iringa
tuliwaambia wakaimba imba ati white elephantSisi hutenda.....si kama wao wa hadithi hadithi
hasira hasaraMmeweka matank tu hayo sasa mnaanza kuimba.
70 floors jengo la kwanza ni 300m....la pili ni 200mPinnacle ni metre ngapi na flr ngapi wadau
Hadi kuish ndio 2030 au70 floors jengo la kwanza ni 300m....la pili ni 200m
hasira hasara..asante kwa povu nduguπππwenye wivu wajinyongeHadi kuish ndio 2030 au
Hatuna shida na english koko hiyojifurahisheni na ngoma mpya Sauti Sol...Kiingereza ikiwashinda njooni niwafanyie tafsiriππ
Itakua zaidi maana ujenzi wake umesuasua sana!!
hivi nikuulize ujenzi wa skyscraper unachukua miaka mingapi? the tallest building in the world in Dubai was built in 3 years...britam Tower is Africa's second tallest and it was buoit in 3 yearsItakua zaidi maana ujenzi wake umesuasua sana!!