Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


huyo hata hufai kumjibu. unapoona mtu anataja homa bay as Kenya's third biggest town unamtazama tu and you assume him. huyo kashakunywa supu ya albino imemlewesha
 
halafu wewe kwa akili zako umeamini kilichoandika hapo? tangu lini Homa bay ukawa kwa list hata ya top ten of Kenya's big towns? aliyeandika hiyo labda alikuwa kashalewa kwa supi ya albino
Mkenya mwenzio ndio kaandika 😀😀😀😀😀
 
halafu wewe kwa akili zako umeamini kilichoandika hapo? tangu lini Homa bay ukawa kwa list hata ya top ten of Kenya's big towns? aliyeandika hiyo labda alikuwa kashalewa kwa supi ya albino
Sasa ni tatizo la nani? Tumewaambia nyie taarifa zenu za ajabu ajabu kutafuta sifa. Sasa unayemlaumu nani sasa?
 
waliosema The Pinnacle imekufa...hizi hapa concrete mixers zimewekwa majuzi tayari kuanza foundation..poleni...kilichonishangaza nilipopita hapa ni kuwa hizi concrete mixers ni ndefu hata kuliko majengo ya karibu...CC: ichoboy01 kadoda11

 
waliosema Pinnacle imekufa...hizi hapa concrete mixers zimewekwa majuzi tayari kuanza foundation..poleni...kilichonishangaza nilipopita hapa ni kuwa hizi concrete mixers ni ndefu hata kuliko majengo ya karibu...
Hiyo mitungi miaka miwili iko hivyo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…