Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Corporations put their businesses where there is a strong consumer base aka the middle class….. Bongo middle class is very tiny and concentrated on a small section of Dar … that’s why they are an LDC

Sema tu mnakula vibandaski. Hakuna mwenye atakupiga😂😂

Lazima wafurahie, they have less than 8 KFC branches countrywide. 😂 😂 😂 😂

Why is there no KFC in Norway, Luxembourg?
 

31. KFC Kiambu Road
32. KFC Woodvale, Westlands
 
Yani anatuamgusha sana, anatuumiza sana. Halafu kibaya zaidi hakuna kitu tunaweza kufanya. Yani inauma sana!!!
 
Vijana too much fast food means you have food issue
 
If you don't need them then hizo Saba zinafanya nini hapo uchawiland?
Preparing good meal in most expensive Kuliko fast food kwenye Mataifa yote Ulaya, na mataifa mengi duniani Kenya ikiwepo.

Tanzania kuna chakula kizuri sana ambacho ni local food, mfano chips mayai, chips kuku, biryani, pilau and so forth, so kwa Watanzania wengi haimake sense kununua chakula cha fast food kwa gharama kubwa wakati kuna best alternatives.

Kenya Chakula kikubwa cha Mchana na usiku kwa Wakenya zaidi ya 90% ni chapati na maharage na kunde, wakati wa Tanzania ni wanakula Pilau, Nyama, matunda nk. (Chakula ambacho mlo kamili.
Ili mkenya ale mlo kamili kama Mtanzania anatakiwa kutumia walau 30,000 KSH kila siku
 
Nyinyi watanzania mnachekesha sana. So matunda na nyama vitu za less than 300 bob ndio unasema mtu anatakiwa atumie 30k shillings?

Yani hii thread watanzania wote ni vichaa😂😂😂🤣.

Nyama kilo moja Kenya kwa streets is around 600 bob, ndizi ni 10 bob, Machungwa ni 10 bob, pilau zinapikwa kwa streets at 100 bob per container. That food alone is not even 900 bob yet wewe unaongelea 30k😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…