Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

0ngea kiswahili tuu mzee haaha naona unateseka
 
Huyo ni kenge anaonekana kwenye msafara wa mamba miradi yote inayoendelea hapa nchini ni plan ya JIWE
Nani aliyeanzisha?
Na BRT phase 1 and 2 alikamilisha nani kama sio Magufuli??
Kimara-kibaha highway kakamilisha Magufuli au kakamilisha Samia??
KIJAZI INTERCHANGE NANI KAMA SIO MAGUFULI??
We jamaa kweli ZUMBUKUKU!
 
Who told you hakuna barabara Lamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…