Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaniletee defense budget ya UK na ya Iran tuzilinganishe.
Halafu kiuhalisia UK anachakazwa na Iran,je unalijua hilo?
Vita na uimara wa jeshi haupo katika bajeti kubwa bali katika mbinu ambazo jeshi linalo na ari ya vita.
Yemeni hiyo hapo amongst POOREST NATIONS ILA KAIFUNGA RED SEA HAKUNA MELI INAYOPITA HATA USA KASHINDWA KUMZUIA.
Huwa sijui vichwa vyenu havifanyi kazi!
 
Wameanza kunyoosha maelezo 🤣 🤣 🤣 🤣 Nadhani kipigo kinachoendelea huko siyo cha kitoto.

View attachment 2897011
Uzuri wake update wanatoa wenyewe m23,wanatembezewa mkong'oto wa paka mwizi,juzi walienda kujificha kwa raia wakidanganya wameuteka ule mji,wakatembezewa kichapo huko huko wakadai TPDF inaua raia wasio na hatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…