Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukipata indoor arena kama hii πŸ‘‡ πŸ‘‡ Tangagiza nitag nitafunga account.


View: https://x.com/OlympicsKe/status/1653695407392792576?s=20
 
Wakenya kwa vituko mpo sawa sawa kabisa hebu angalia viti vya kiwanja hicho. Kiwanja kimechoka kweli kweli 🀣 🀣 🀣 πŸ‘‡ πŸ‘‡
View attachment 2895983
Pole sana, hii ni indoor arena ya Morroco. Asante sana kwa kujitia kidole na hata hamna any indoor arena bongolala. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Maskini wa kutupwa anaicheka Morocco.
 
Huu mfupa anatafutwa mjapani apewe 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…