Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So what exactly is your point? Because your colleague had dismissed that Temeke doesn't have uswazi.
 
Kwahiyo mtuombee sisi wenye jnhpp? Utakuwa unaumwa wewe, hizo shida ni za muda mfupi, baada ya mwaka huu itakuwa ni history, itabaki kwa viongozi kuhakikisha hatukosi umeme, kama wanapiga basi kifo chao ni kukamilika kwa jnhpp ambayo ni 2115MW, kilichobaki ni kuwauzia umeme, na tayari kuna order kutoka SA na Kenya mtake msitake lazima tuwauzie umeme, so tutazidi kuwatawala kiuchumi, thats why kila tunachotaka serikali yenu inafanya mana cc ndiyo tunautawala uchumi wenu 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
There are so many green nets down there my little sister or brother. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nilipita hapo last two months nilisimama somewhere sikua na muda wa kutosha I was only able to take that photo.
Hiyo picha Moja ndio ilikuwa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Wewe tunajua unaumizwa sn na uwepo wa ma slums nairobi, you wish Tanzania pia ingekuwa na ma slums kama Kenya sema ndo haiwezekani 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Bigger than supreme Court pale Ukunyani!
 
Wewe tunajua unaumizwa sn na uwepo wa ma slums nairobi, you wish Tanzania pia ingekuwa na ma slums kama Kenya sema ndo haiwezekani 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Huyo Kibera slums huwa zinamuuma sana anatamani siku moja aamke akute zote zimehamia Tanzania. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Eneo la Chang'ombe police hilo.
 
Huyo Kibera slums huwa zinamuuma sana anatamani siku moja aamke akute zote zimehamia Tanzania. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na ndo haiwezekani mana tayari Tanzania kuna mradi wa kuondoa unplanned settlement, tunaanza na jangwani, sijui watapata wapi picha mbovu za Dar 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…