COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Employs 50000 people...paid wellOwned by settlersππ
Iko jangwani kwani?mloganzila hospital, the best hi tech health facility in east and central africa.launched by president magufuli yesterday.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Its called volcanic soils...they are red and rich in agricultural activities.... They are found in tea growing regions like Kiambu,nyeri,meru,kericho,kisii,bomet and nandi countiesmbona bado pachafu....huo udongo unafanana na sehemu ya machinjio..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kazi nzuri broo,,endelea kuwaelewesha majirani ukweli kuhusu DAR.!
Unakunywa chang'aa halafu huli chakula,is that iringa a town or a village...smh
Hata Kericho beats it a thousand times.....you should not call that ugly underdeveloped thing a town
Wewe nawe unavuta glue wakati chakula huli,Hii ata kericho haifikii ΒΌ
Hii ndio unataka kulinganisha na kericho town
Ndugu nakutajia sehemu kenya nilizofika, mombasa, nairobi.nakuru, kisum, kericho, homabay, migori, kisii, awendo, narok, voi etc sasa wewe utanielez nnwewe najua "umefika" kila mahali.Hiyo ndio iringa.....pwahahaha
inakaa the year1900 .....seems like that missionary church is the only thing in that village oh sorry Town
I believe that cathedral is this oneHii ndio unataka kulinganisha na kericho town
Haha wewe kama umefika kericho ungekua na aibu kupost town ime rust hivoKericho ina nn au unafkiri hatujawah kufika hapo sometimes ongea vitu vya maana
Be serious budaaππHii ndio unataka kulinganisha na kericho town
Kericho kuna nn cha ajabu hebu nieleze zaidi ya mashamba ya chai ya wazunguπππHaha wewe kama umefika kericho ungekua na aibu kupost town ime rust hivo
lakini owner ni settlersππππEmploys 50000 people...paid well
Labda ile kericho nisioijua mimi kama ndio ile ile basi be seriousππππHii ata kericho haifikii ΒΌ
Kibera ndio sehemu wanaishi wakenya wengi sana 2.5 million people, not a jokeππππ robo tatu ya nairobi nzima iko kibera slumDodoma ni Dodoma...kwa nini usitumage picha za upperhill instead ya kibra
But can't compare with rusty iringaKericho kuna nn cha ajabu hebu nieleze zaidi ya mashamba ya chai ya wazunguπππ
πππππ Msikieni collo, kweli akili ni nyweleMimi Niko na simu na laptop iyo ni users wawili
Anzisha thread iringa vs kericho yani ukitoka salama basi wewe mwanaume kweliππππBut can't compare with rusty iringa
Roho inauma japo kimya kimyaπππAny pic without the two towers is null and void
Bro hata usijisumbue kericho hakuna kitu zaidi ya mashamba ya chai ya wazunguUnakunywa chang'aa halafu huli chakula,
Haya ndiyo matatizo yenu, mnajikuta mnafanya meditations hata hapa,
Nimejaribu kuitazama hiyo kericho, niliyoyakuta huko ni Aibu..Th
View attachment 638036View attachment 638037View attachment 638038View attachment 638039View attachment 638040View attachment 638041
Wakati mwingine mkubali ukweli, Tanzania imewazidi vitu vingi hususani kwenye Miji,
Hiyo kericho hata Mafinga au Nzega hainusi halafu unakurupuka eti Iringa.
By the way, nimwgundua huenda kitu pekee unachomiliki ni smartphone ndio maana unakuwa mkurupukaji namna hii.