Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maana yake more than half of Nairobi dwellers live in Kibera 🤣🤣🤣👇👇👇




 
Asante sana mkuu, ila hapa sio maala pake kaka 🙏
 
Exactly as I said. Keep mentioning Kibera kijana wa Tandale. Itondoa nyumba duni zilirundikana Dar every corner in the most disorganized fashion
🤣🤣🤣2.5m live in Kibera Slums more than half of Nairobi dweller. Don' mention mathare and related Slums

😘😘😘😘👇👇👇👇 Tandale kama Tandale

 
Tuna mwezi sasa tunakutaka utuoneshe Bus Stand unakimbia tu. 🤣 🤣 🤣 Unaona aibu?
Kwani hile ya Nyeri nilikuonyesha ni kaburi la Magufuli?

I mentain my word that Konza is 100 times better than Dodoma when it comes to horizontal infrastructure.
 
Unaweza kuwa maskini lakin ukawa msafi. Nyingi ni wachafu
I like the change in tone 😂😂😂😂

Sema tu umeshtuka kuona nyumba iko na fridge na TV ndani ya Kibera. Sasa usishangae bongolala, Kuna wenye wanamiliki hadi magari
 
Mazingira hata mbwa haweziishi wakati umeona nfani ya hizo nyumba Kuna TV hadi fridge, vitu nadra to an average Tanzanian
I think you lack exposure.
Na ndo tatizo la wakenya wengi. Ndo maana mnaishi kwenye mazingira hayo.
Hiv hamnaga utamaduni wa kusafisha uani na mbele ya nyumba? Nyinyi ni wachafu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…