Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,805
- 41,709
Jeshi au wanamgambo.? πππ Wazee wa kupiga picha tu, zero successful mission. Tumezungukwa na wapumbavu sana sisi, tuna bahati mbaya sanaKenya Dimwits Force, zero successful mission kila mnapoenda ni ujinga tu.
Leo mpaka utaita miungu yako yote.Oh Jesus....this is some comedy or what...lol
LOL....Wacheni niende fom zangu za saturday
Hawa wanajua hawana kitu cha kulinganisha na Nairobi. Wakishindwa kwenye hoja they resort to mentioning Kibera. Yani mtaa mdogo kama Umoja hawana jibu the best they can do is to mention Kibera. Says a lot about this battle and Dar residential areas in generalVery nice, naona umekubali level ya Vivunguti ni Kibera and not Umoja estate. Vile inafaa.
Ndio maana wanatumia fighter jet za 1950 tena second generation. ππJeshi au wanamgambo.? πππ Wazee wa kupiga picha tu, zero successful mission. Tumezungukwa na wapumbavu sana sisi, tuna bahati mbaya sana
Hawafiki hata 200. π π π Nimeipitia hiyo video nimecheka sana. Wanajeshi wamevaa combat na mkanda mweupe. π€£π€£π€£πππWanajeshi wamekondeana kama South Sudan
Nenda mzee. Naona unaondoka hapa kichapo kimekuumiza π€£ π€£ π€£ Nina uhakika hutarudia tena.LOL....Wacheni niende fom zangu za saturday
Wewe ndio inaniacha hoi kabisa πππ upo busy kupost parade vids. Ni mission ipi enye you have had it successful? Au picha za parade means strong army.? Vijana wa halaiki Tz are much better kama shidaako ni kufanya comparison za parade. π
Nimekuuliza jibu swali.Wewe uliona nyumba ya mabati Umoja ambayo kilaza mwenzako alisema ni slum?
Yani nyinyi kwenye sekta ya makazi mkae kimyaaaa kabisa
Kuna kitu inakosa, yaani ile real internal conviction.Hii kambi moja wamehitimu 3,000. Tuna kambi nyingi tu. Jionee mwenyewe. Tunaweza kuwanyamazisha kwa sekunde tu ninyi wakenya.
View: https://youtu.be/JZmM6Mr3Bs8
Afadhali uende uache kuleta huu upuuzi wakoππLOL....Wacheni niende fom zangu za saturday
Hawa ndio wanajeshi wa kenya.
Sio miti, na greenery, hiyo video inaonesha interchanges, barabara hii class vijijini. Sidhani kama mnazo huko Tanzania. Ama sifahamu, tuonyeshe interchange vijiji tuoneWewe hamuwezi nyie.
Rural Tanzania..Busokeloππ
View: https://twitter.com/Visitmbeya/status/1745290944243466437?t=vpO90qSzczPbc1rIGG52Gg&s=19
π€£ π€£ π€£ π π πHii imewauma π π π π π
Uwepo wa nyumba ya mabati sio hoja. The thing is, it's a slum coz it ticks all the boxes of qualities of a slum. Hata Githurai mnasemanga ni slum na hakuna nyumba za mabati kuleNimekuuliza jibu swali.
UMEONA VINGUNGUTI KUNA NYUMBA YA MABATI CHAKAVU??
NASUBIRI JIBU.
VINGUNGUTI NDIO KIBERA YA TZ.
π€£ π€£ π€£ π€£ π π πUwepo wa nyumba ya mabati sio hoja. The thing is, it's a slum coz it ticks all the boxes of qualities of a slum. Hata Githurai mnasemanga ni slum na hakuna nyumba za mabati kule
Jeshi kubwa? In terms of what?Kwa sasa tunaongelea Jeshi kubwa barani Africa (Tanzania) Je, umeanza kuogopa?
Kenya ilizidiwa na wanaume wanne tu toka Somalia π€£ π€£ π€£ π€£Jeshi kubwa? In terms of what?
Budget?
Tanks?
Total number of aircrafts?
Submarines?
Active frontline personel?
Nyinyi ni empty talks tu as usual