Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uhuru enjoying himself hapo 4.00...lol.Long live sir.


View: https://youtu.be/dTdeEZV7BMQ?si=tksdpY7TqJCirflG
Tanzania kila mwaka inatoa 50,000 JKT.

View: https://youtu.be/6cnVLDQ3hR0?si=fRmvm_zCYALDAhYq
 
Vingunguti ndio maeneo ya walala hoi kama ilivyo Tandale,Manzese na Mburahati.
Sasa hayo maeneo umeona nyumba za mabati chakavu?
Wewe uliona nyumba ya mabati Umoja ambayo kilaza mwenzako alisema ni slum?

Yani nyinyi kwenye sekta ya makazi mkae kimyaaaa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…