Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kamakis pia haiko Nairobi, Dar is a slum imezungukwa na vijiji, Nairobi imezungukwa na towns forming a cluster. πŸ˜‚ πŸ˜‚ Dar imezungukwa na mashamba ya mihogo na vijiji.
Kuna miji inayoanza kukua huko nje ya Dar.
Ila sijaona mashamba pale bali ni miti na uoto wa asili.
Pia usidhani kila kona bongo inakimbilia kujenga magorofa
 
Kamakis pia haiko Nairobi, Dar is a slum imezungukwa na vijiji, Nairobi imezungukwa na towns forming a cluster. πŸ˜‚ πŸ˜‚ Dar imezungukwa na mashamba ya mihogo na vijiji.
Hapa tunazungumzia dar city vs nairobi city hakuna kuruka ruka nje ya mada tulia kwenye mada tupige kwenye mshono 🀣🀣

Dar city 1500km sq

Nairobi city 696 km sq ndani yake kuna 120km sq nairobi national park ndani yake kuna over 200km sq misitu ya wakubwa
Chukua hesabu ndogo tu utagundua kwann nakwambia πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Kutoka CBD kwenda westland ni 3km
Kutoka CBD kwenda upperhill ni 3km
Kutoka CBD kwend kibera ni 5km

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Unapoambiwa maana ya mji unajua nini au unaelewa nini?
Ni akili ya kuzaliwa tu tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya tanzania population ni 60m wakat kenya population ni 55m

Anatakiwa atulize kichwa chini apige hesabu tu atagundua kwann bado mpaka leo njaa inawaua πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mji gani? weka evidence.
Hii ni kuanzia Kibaha maili moja kwenda mbele mradi wa maendeleo ya makazi.
Kuhusu Vikindu yale ni maeneo ambayo ndio yanaanza kujengeka na kukaliwa na watu kipindi hiki.
Hata kigamboni ilikua kama vikindu ila sasa imeendelea.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-01-31-00-11-04-22_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
    58.8 KB · Views: 15
Asante sana kwa kukubali Dar is a slum imezungukwa na vijiji na mashamba za mihogo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ All major cities zimezungukwa na secondary cities or towns.

Johannesburg ikona Pretotria
Cairo ikona Giza na Imbaba
Nairobi ikona Thika na Ruiru

Dar is a slum ikona nini? Ukipata jibu nitafunga hii account?
 
Hii ni kuanzia Kibaha maili moja kwenda mbele mradi wa maendeleo ya makazi.
Kuhusu Vikindu yale ni maeneo ambayo ndio yanaanza kujengeka na kukaliwa na watu kipindi hiki.
Hata kigamboni ilikua kama vikindu ila sasa imeendelea.
Kwa ground hakuna kitu, ni vijiji na mashamba za mihogo.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…