Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yes napiga nduru I see
upperhiil
Westland
CBD

Kwenye picha moja nakukumbusha tu from CBD to westland and upperhill ni 3km each ukibisha tu nitag 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Are you aware that Nairobi alone has more dollar millionaires than entire Tanzania?
 
Yes napiga nduru I see
upperhiil
Westland
CBD

Kwenye picha moja nakukumbusha tu from CBD to westland and upperhill ni 3km each ukibisha tu nitag 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Just like I said. I control all of you like a television, I change channels whenever I like 😂😂😂.
 
The few residential mansions kwa hiyo video zote ziko Bukoba town. Ukiingia ndani kidogo hamna mansion, a few rough bungalows and that is it.
View attachment 2885592View attachment 2885594View attachment 2885598
Hizi unaiita rough bungalows typical Tanzanias homes



Wakati typical Kenyan city dweller anaishi mazingira kama haya, hivi ni sababu hizi ni ghorofa au comfortability mnayopata kuishi mazingira kama haya ni ipi? Huyu mtu anaishi hapa bedsitter ni masikini mara elfu 1 kuliko anaishi kwenye hiyo rough bungalows unazosema

 
🤣🤣🤣🤣🤣
Kila siku watu wanaruka kwenda bukoba

View attachment 2885911
Ati kila siku?🤣🤣🤣.

Ok, in a year only 51 passengers were handled at Bukoba airport.
A year has 365/6 days.
Meaning in a day Bukoba handles
(51PAX×1dy)/366dys = 0.1393people.

So kwa siku Bukoba handles a handreth of a person?🤣🤣🤣

 
Mzee naona umeanza kuchanganyikiwa. Bukoba Tangu lini ikawa international Airport?
Hebu tuoneeshe local Airport yoyote ya kenya

Airports za kenya 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…