Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha ujinga wewe Tshekedi fukuzia mbali kenyan forces cause they dont bite ni kubweka tuu. Mandate yetu ni offensive hatutaki utani wala kucheka na kima ikija kwenye masuala ya ulinzi.
 
Bora wamekifufua hiki ni kiwanda muhimu sana Tanzania itasaidia sana upatikanaji wa vipuri kwa viwanda vyetu.
 
Utoto wa wakenya. Mnatengeneza video wenyewe ili muanzishe propaganda 🤣 🤣 🤣 🤣 Childish Idea. Hizo propaganda zilitumika miaka ya 70s. Sasa hivi tupo kwenye technology.
Tunajua hujafungua video, based on your stupid comment.
 
Hide your stupidly sibishani tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…