President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,615
- 94,211
Nataka nikufundishe mapishi ya mchele. Maana inavyoonekana hujui kupikaAll Tanzanians in this forum are idiots😂
Weka projects mpya tuone. Maana hizo picha miaka na miaka mnazipiga
Unataka kusema mnaunda injini na kuunda bus from the scratch?Ushahidi gani? Ati Kinglong/Yutong buses are assembled in Kenya?
Why give rice so many names yet it's just a carbohydrate. No wonder Tanzanians are all malnutritioned cause you keep on eating rice everyday thinking mnakula vitu tofauti. Wali, pilau, biryani are all same thing, RICE.Nataka nikufundishe mapishi ya mchele. Maana inavyoonekana hujui kupika
Wali wa kawaida
Wali wa kukaanga
Wali wa nazi
Wali wa manjano
Pilau wa kuku
Pilau wa nyama
Pilau wa mboga
Pilau wa maharage
Biryani ya kuku
Biryani ya nyama
Biryani ya mboga
Biryani ya maharage
Wali wa nazi na sukari
Wali wa maziwa na sukari
Wali wa zabibu na sukari
Wali wa tende na sukari
What do you understand by the term built?Unataka kusema mnaunda injini na kuunda bus from the scratch?
Hahaha…this gave me a Forrest Gump Deja vu… where Bubba is explaining to Forrest all types of shrimp cuisines…🤣🤣🤣🤣… watch the movie…Nataka nikufundishe mapishi ya mchele. Maana inavyoonekana hujui kupika
Wali wa kawaida
Wali wa kukaanga
Wali wa nazi
Wali wa manjano
Pilau wa kuku
Pilau wa nyama
Pilau wa mboga
Pilau wa maharage
Biryani ya kuku
Biryani ya nyama
Biryani ya mboga
Biryani ya maharage
Wali wa nazi na sukari
Wali wa maziwa na sukari
Wali wa zabibu na sukari
Wali wa tende na sukari
Look at the occupancy level!!I almost forgot our daily dosage😂
View attachment 2884631
Huwa nawaambia Kenyans got money na hawaskii.Look at the occupancy level!!
The apartments are almost fully occupied. Kuna kamati ya roho chafu that profecised that the apartments will be like a ghost town with no residents
Huyo mzungu anaangalia vitu vimeekwa mbele yake karibu atokwe na machozi. Ona vile anacheka tu pole pole considering low quality items you have placed Infront of him.Made in Tanzania by
Kilimanjaro International Leather Industries Co Ltd (KLICL)
View attachment 2884638
Hayo ni mapishi. Unatakiwa uje Tanzania ufundishwe kupika. Hujui kupika wewe. 🤣 🤣 🤣 🤣Why give rice so many names yet it's just a carbohydrates. No wonder Tanzanians are all malnutritioned cause you keep on eating rice everyday thinking mnakula vitu tofauti. Wali, pilau, biryani are all same thing, RICE.
Najua inakuuma sana sana.Huyo mzungu anaangalia vitu vimeekwa mbele yake karibu atokwe na machozi. Ona vile anacheka tu pole pole considering low quality items you have placed Infront of him.
Niliiona hiyo picha alipoipost ilipigwa kimkakatiWakuu haya si masihara haya, Konza wanayoifananisha na Dom ndiyo hii, jaribu ku zoom uone 👇👇👇🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2884559
Nguru Hills Ranch And Abattoir - Morogoro TanzaniaHuyo mzungu anaangalia vitu vimeekwa mbele yake karibu atokwe na machozi. Ona vile anacheka tu pole pole considering low quality items you have placed Infront of him.