Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

afadhali utafute hela ukiishi kibera na kijijini umejenga nyumba.....that's how most slum dwellers in Nairobi survive.Hata watanzania omba omba wanaishi humo tu bora waweke akiba ya kuomba omba
Umeishiwa kabisa bora unyamaze sasa,atleast ur what?Kibera kubaya and yu can't do anything to change that facts take that pill and swallow !!
 
na leo wasijaribu kuleta mambo ya kulipia pesa cash sijui mambo ya mkopo sijui SGR yao ni bora...watatolewa jasho kama jana...wanaimba imba ilhali SGR ipo bado wanapambana na vumbi huku rais akiomba omba mkopo toka kwa ZumaπŸ˜€πŸ˜€
 
Mbona hawakutaja majina ya hao marais wanaotarajiwa kuja?, kama kawaida yenu kupenda kupika na kuzusha sifa za kijinga tu, hakuna hata saba hawatakuja, hiyo ni nchi ya hovyo sana
pumbav...ushakuwa nabii sasa...tulia kwanza marais waje kisha upanue huo mdomo wako unaonuka choo...
Over 100,000 people among them 20 heads of states are expected to attend the inauguration.
 
nairobi slumsπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ maisha ambayo hata nguruwe hawez kuishi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
HAYA NDIYO MAAJABU YA KIMONDO CHA MBOZI...

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga (wa pili kulia) ametembelea kivutio cha utalii cha Kimondo leo wakati wa ziara yake ya kikazi katika kijiji cha Ndolezi wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe.

Kimondo hicho kinachokadiriwa kuwa na tani 12 kiligunduliwa wilayani Mbozi mwaka 1930 na kimeundwa kwa madini ya Chuma 90%, Nickel 8.69%, Copper 0.66%, Sulphur 0.01% na Phosphorus 0.11.

Aidha, kimondo hiki ni cha pili kwa ukubwa kati ya 35 vilivyopo barani Afrika na cha nane kati ya 578 vilivyopo duniani kote ambavyo vimeundwa kwa chuma. Sifa kuu ya kimondo hiki ni kuwa na ubaridi wakati wote hata mchana wa jua kali.

Pamoja na mambo mengine katika ziara hiyo, amekagua ujenzi unaoendelea wa jengo la kituo cha taarifa (Information Centre) katika kivutio hicho ambalo linagharimu Shilingi milioni 400.
 
Nlidani mnatumia pesa yenu hamtumii loan
Fatilia sana mikopo ya tanzania utakuta mara nyingi ni world bank au AFDB kwasababu interest zao ni ndogo sana na pia zinachukua miaka mingi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

We kinachokuuma kwann tanzania kwenye SGR mpaka sasa imetumia pesa zakeπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
naliamsha dude:
kutokana na uhaba wa ardhi,wakazi wengi wa nairobi hawamiliki nyumba zao binafsi.

asilimia kubwa ni wapangaji walio-rent nyumba zinazomilikiwa na kikundi kidogo cha wakenya toka kabila la kikuyu.

that being said,i present to you a sample of random photos that show private houses owned by the common citizens of dar es salaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…