Hakuna niliko potosha.Halafu mbona kama unapotosha hizo double decker (na si double deck) za kutoka Ujerumani zipo Pugu tayari! Au hukuziona zikishushwa bandarini?
Hili la kulia mpaka watafute Twiga Nairobi National Park aje awapandishe juu😂😂😂😂Wanaumia sana sema wanashindwa kusema🤣
View: https://twitter.com/sayi3505/status/1746076782569066812?t=muucI4rIFlhhsKtymrp-gQ&s=19
Ana Akili finyu anayesema ku test nchi husika hajui hata gari lenyewe likitoka Assembly line linafanyiwa testing, Sijui akili gani hizi 😂
Are you ok? I mean kiafya?
Watu wanachukulia poa, lakini huu mradi utaleta sifa nyingi mno Africa, na utailipatia heshima kubwa sana bara la Africa kwasababu utakua ndio mradi wa kwanza mkubwa uliofanywa na waafrica wenyewe, mmiliki wa mradi ni muafrica, mkandarasi ni muafrica na sio pesa ya mkopo.Wewe nyang'au kipchirchir Arap Teargas ona miradi hiyo sio hivyo vijibus vyako unavyoturingishia humu kila siku😎😁
View: https://m.youtube.com/watch?v=pBMQYLqPp3c
Hawa ni kama nyani, ukiwachekea utavuna mabua.