Aliyeweka hii soundtrack kaua sanaa😍, Jionee kitu kikiwa kinaenda chenyewe na wala haijachomeka cable muda wote kama Pasi 😂. Topestanians and Kundustanians na lile dude lao la kuchochea kuni kazi kutuchafulia mazingira.🤣
Nyumbani kumenoga1400km from Dar es Salaam na Bado Kuna maendeleo haya. Tanzania maendeleo ni kotekote sio kama Kenya only central Kenya.
Bukoba hii
View: https://youtu.be/rBYKFm9U19w?si=_qAme4DXS0uFi0vZ
Ni wakati sasa haya majina sijui Livingstone, Victoria na Bismarck yabadilishwe kama vile tulivyobadilisha St Margaret hospital kuwa Muhimbili.
Mara ya kwanza kufika huko niliishangaa sana. Tena ukienda Tukuyu viwanja vya "mchangani" wanavyocheza mpira watoto, jani lake, stadiums nyingi duniani zinaona aibu. Ndiyo maana niliwashanga waliompinga Magu kudai bwawa litakosa maji, wakati yanapotoka udongo ni tepetepe (Ilibidi nichomekee legacy, usijali)Nyie mnaita Mbeya sisi tunaita nyumbani
Ni matope ya vifaru!Hawajapitisha vifaru hapo ?
Japokuwa kuna maendeleo, tangu lini Bukoba ni city? It is Bukoba town. Na si kweli Bukoba port is the second largest lake port in Tanzania, Kigoma port inaachwa wapi?1400km from Dar es Salaam na Bado Kuna maendeleo haya. Tanzania maendeleo ni kotekote sio kama Kenya only central Kenya.
Bukoba hii
View: https://youtu.be/rBYKFm9U19w?si=_qAme4DXS0uFi0vZ
Je tunauhakika gani kama serekali inawalipa wakandarasi kwa wakat??
Manake tusiongee vitu hatuna uhakika navyo na issue ya yapi markezi toka lot 1 and 2 kulikua na shida sana kwenye muda wa kumaliza mradi ambao ukifatilia kiundani utaona shida iko serekalini
Nafkiri kamaanisha kwa lake victoria ndio second port after mwanza south portJapokuwa kuna maendeleo, tangu lini Bukoba ni city? It is Bukoba town. Na si kweli Bukoba port is the second largest lake port in Tanzania, Kigoma port inaachwa wapi?
angessema hivyo basi japokuwa Lake Victoria kuna Entebbe na Kisumu pia! 😆Nafkiri kamaanisha kwa lake victoria ndio second port after mwanza south port
Brother kumbuka anaielezea Bukoba wanakotoka ndugu zetu Shomile, so inabidi uelezee na swaga zake😅Japokuwa kuna maendeleo, tangu lini Bukoba ni city? It is Bukoba town. Na si kweli Bukoba port is the second largest lake port in Tanzania, Kigoma port inaachwa wapi?
Nini kimewakuta Yapi lakini?
Ndiyo faida ya kuwa na viongozi wazalendo kama Magufuli. Wanaweka vipengele kwenye mikataba kushtaki kampuni za kigeni kwenye mahakama za nchi. Siyo hawa wachumia tumbo wa sasa, wanaotaka tutumie mahakama za kimataifa eti kuwavutia wawekezaji.
wacha kuropoka kama vile unajua sheria za procurement za nchi! hazihusiani na sheria za kimataifa!Ndiyo faida ya kuwa na viongozi wazalendo kama Magufuli. Wanaweka vipengele kwenye mikataba kushtaki kampuni za kigeni kwenye mahakama za nchi. Siyo hawa wachumia tumbo wa sasa, wanaotaka tutumie mahakama za kimataifa eti kuwavutia wawekezaji.
Hali ya uchumi Uturuki ni mbaya! wasilogwe wampwe Mturuki Tender ya SGR Uvinza-Msongati!Nini kimewakuta Yapi lakini?