Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani nimepitia arguments zao za jana, nimegundua kwa hakika wanzetu wanaumia sana. Point wanazokomaa nazo ni za kitoto kabisa. Watanzania wanawaelewesha sana lakini akili za wakenya zipo chini kabisa.
anzeni kujenga angalau infrastructure ya maana na ikamilike ndio muongee humu.....mna maneno mengi lakini output ni zero.Viongozi wenu wanakula tu bajia ofisini
 
who told you has not begun?????ujenzi unaendelea kama kawaida nakupa taarifa
unajua ongea kitu ukiwa na uhakika nacho narudia kukwambia phase one and two imekua financed by the government of tanzania, kinachokuuma wewe ni wapi tumepata pesa za mfukoni kulipa miradi mikubwa kama hii wakat kenya amekopa 100%πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
'we will' inamaana inaeza kua au isiwe, sasa kwa kifupi loan amezikataa kwa sababu ya interest kubwa na badala yake katoa pesa mfukoni kugharamikia ujenzi phase one and two jumla ya 3.16b usd sawa na 712kmπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
safi sana angalia hio link ni ya lini na leo lini????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ujenzi ynaendelea wewe unawaza mambo ya loan tutatafuta loan kwa phase zifuatazo lakini phase one na two fedha cash zishatolewa na ujenzi uko motoooooπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
nani hajaomba loan, rudia maneno nilioandika page za nyuma ndio utajua niliongea nini yani jambo la kutoa pesa zetu nyie linawauma hahahaaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ zuma tulimwambia lakin hajapata ndio maana phase 1 and 2 tumetoa pesa zetu hatuwez kusubiri loan ili tucheleweshe miradiπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Kwani unadhani hawalijui hilo kwamba tumetoa pesa zetu wakati tunaendelea kutafuta loan yenye masharti nafuu, tatizo lao hawaamini kama kweli Tanzania inaweza kutoa $3.1B from their own pockets, hilo ndilo linawapa taabu kuamini, na sio Kenya tu wanaoshangaa, Africa nzima haijawahi kutokea kujenga reli yenye gharama kubwa bila kukopa.
 
Tuma link ya Leo..tarehe 24/11/17 yenye inasema hamtumii loan

sent from iPhone 7
 
basi watashangaa sana bado kuna biggest dam in east africa stiglers gorge cost yake ni 2b usd jamaa anatoa pesa cashπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na wakandarasi wako site
 
Tuma link ya Leo..tarehe 24/11/17 yenye inasema hamtumii loan

sent from iPhone 7
kwanza toa hilo neno sent from iphone 7 alaf tuendeleeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
kinachokuumeni sisi kutoa pesa basi ajabuπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Tuma link ya Leo..tarehe 24/11/17 yenye inasema hamtumii loan

sent from iPhone 7
Mtu akitumia pesa yake anahitaji kueleza au kuweka kwenye website?, wewe unayepinga ndiye unayepaswa kutoa ushahidi unaoonyesha kwamba ujenzi wa SGR huku Tanzania unatokana na mkopo, onyesha wewe, hadi sasa Tanzania imeshaanza ujenzi wa phases mbili za mwanzo kwa thamani ya $3.1B, sasa wewe onyesha pesa hiyo imekopwa toka wapi, na kama haijakopwa itakuwa ni pesa ya nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…