Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

One minute Unasema mko na expressway. The next minute Unasema hamna expressway 😂😂😂

Yani hata nyinyi hamuelewi vitu mnasema humu, arguments za kijinga za kutetea uzalendo ndio mmeweka mbele
 
Wewe mbwa, sasa supermarket ikiwa haina hata branch moja, hiyo inabadili maana kwamba sio supermarket au.? 🤣🤣🤣 Hii ndio kwanza naiskia kutoka kwenu.
Fuatilia thread uelwewe kinachoendela
 
It operates in Tanzania and are producing products for whole of east and central Africa including Kenya.
TANLEC only supply Tz.

In Kenya We have East African Cables 68% owned by Transcentury.
We also have cable holding Ltd 100% owned by Transcentury.
 
One minute Unasema mko na expressway. The next minute Unasema hamna expressway 😂😂😂

Yani hata nyinyi hamuelewi vitu mnasema humu, arguments za kijinga za kutetea uzalendo ndio mmeweka mbele
hakuna aliyesema bongo kuna expressway, hakuna ila tarajia kuona bongo ikiwa na longest expressway kwa eastafrica
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…