The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
eti Marsabit au Lodwar, wewe unaumwa mavi haki ya mama, huko kwenye njaa ya kufa mtu ndiyo ufananishe na kigoma? Kenya ni Nairobi tu na Nairobi ni Kenya, hakuna mji mwingine Kenya ufananishe na Tanzania mji wowote ule, Marsabit na Lodwar watu wanakula punda, nyumba za tope ndiyo ufananishe na kigoma kwenye electric SGR, kwenye bandari kubwa namna ile? wewe una kichaa wallahi. Kenya hamuiwezi Tz kwa lolote.You need a brain check
Kigoma is a village, hata haiwezi fikia Marsabit ama Lodwar.🤣🤣🤣
View attachment 2855540View attachment 2855542View attachment 2855544View attachment 2855545View attachment 2855547View attachment 2855549
kisumu haiiwezi kigoma hata kwa dawa.Miradi or not, comparing Kigoma to Kisumu is like comparing a domestic cat to a lion and it summarises the blind patriotism you Bongolalas exhibit on this thread.
Anakwambia buy Kenyan, built in Kenya for Tanzanians🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Teargas wapelekee Built in Kenya for Kenyans
10. integrated cement plant in KigomaLeta evidence..wacha kupayuka tu..
Hicho ni kiwanda 😂 😂Hawa watu sijui kama wana akili mkuu, mimi nikiona kuna taarifa ya kiwanda halafu kuna sura za wachina huwa natupa kapuni.
Yaani mtu atoke china aje na mashine za kusaga mahindi na packaging kisha tunaita kiwanda ? Sisi ni watu wa aina gani ?
alafu eti wanafananisha kigoma na kisumu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣10. integrated cement plant in Kigoma
Intracom preparing to build US$250m cement plant in northern Tanzania - Cement Sector News - Global Cement
Intracom preparing to build US$250m cement plant in northern Tanzaniawww.globalcement.com
Huu mradi alone ni twice ur FDI ya KunyalandLeta evidence..wacha kupayuka tu..
zile za KQ zinazong'oka matairi zikiwa hewani vp?Masaibu ya kununua ndege mtumba. 😂😂😂😂
View: https://x.com/MaltaAvOutlook/status/1738146623279206574?s=20
Landed safely unlike hizi mitumba zenu. 😂 😂 😂zile za KQ zinazong'oka matairi zikiwa hewani vp?
Landed safely unlike hizi mitumba zenu. 😂 😂 😂
View: https://x.com/aviationbrk/status/1729840194352714059?s=20
Mbona hakuna airport ya bongoslum hapa?How JKIA has turned into a national shame
On November 11, 2023, the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) suffered a power outage that added to the pile of bad news coming out of Kenya's biggestbiznakenya.com
Na wewe katika wajinga wa mwisho wewe umoWatching "Volume" on Netflix.
Kwa upande wa movies Netflix Nairobi wametupita sana.
Hivi wajinga wa mwisho ndio wale wa mwisho kwa ujinga hivyo wanakaribia ujanja? Au ndiyo wa mwisho kabisa wako mbali kabisa na ujanja?Na wewe katika wajinga wa mwisho wewe umo
Hii ndege si ilikuwepo kbla Magu hajanunua ndege mpya?Masaibu ya kununua ndege mtumba. 😂😂😂😂
View: https://x.com/MaltaAvOutlook/status/1738146623279206574?s=20