Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado wakenya mnajilinganisha na Tz kwenye soka? Bado mnaamini Uganda na Kenya mnaizidi Tz kwenye soka? Mtakuwa wendawazimu, na hata hao wanaopanga ranks za dunia kwenye soka watakuwa wendawazimu wakii rank Tz below Kenya na Uganda.

We have the best football league in the region and one among the best football leagues in Africa.

Our national teams (men and women) have qualified for the African tournament.

For which reason can make you believe there's another East African country that is the best as far as football is concerned?
 
Sisi watanzania ni watu wa Southern Africa, tupo hapa EA kwasababu ya huruma yetu kuwabeba watu wasio na shukurani tu, ipo siku tutarudi kwa ndugu zetu wa South.
Nakuunga mkono...,, EAC inawachawi na siku zote mchawi uwa ataki maendeleo ya wengine watu wasio na shukrani wasio penda kufanya kazi kwao unga ni anasa pia kujenga magorofa ya udongo na kuyaita mighty tower supa modern magical... pia jeshi lao ni kama kikundu cha wavuta bhangi mbagala..
nawaona kama hivyo they have nothing to show us....
,,,,HE WHO FEEDS YOU CONTROLS YOU,,
 
Piga mbwa hawa.. wenyewe wacheze ndondoz kwanza. pia waulize clubs za kenyasi topez kushiriki ligi ya mabingwa africa ni lini pia wakajitafuta kwenya lanks za ligi AFRIC alafu ndio waje kubishana umaviz
 
Nionyeshe barabara Tanzania ilioshwa yote kama hii hata pothole 1 tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na kwetu ni mudflow mass movement sio just floods kama kwenu

 
Nionyeshe barabara Tanzania ilioshwa yote kama hii hata pothole 1 tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na kwetu ni mudflow mass movement sio just floods kama kwenu

View attachment 2834455View attachment 2834456View attachment 2834457
You don't have arid regions in Tanzania, that's why. Meanwhile, nowhere in Kenya's non arid regions did we find this kind of tragedy. Yani Mahalo pazuri, mchanga wenye high bearing pressure na bado barabara zinaosshwa.


View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1732009332860993675?t=o54FxWOaED5cPUSD0G1XMA&s=19
View attachment 2834463
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yani perfect areas with high rainfall and high CBR soils barabara zinaoshwa yet they have no single photo lakini za Kenya kwenye arid areas ambako mchanga ni changarawe loose wamejaza humu mapicha. Halafu wakati wa repairs wanajaza zao zetu hawaweki. These guys are hateful hypocrites.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…