Mwanza ilibezwa kwa kukosa zile culvert wanazoziita flyover . Lakini sasahiv mji unapata infrastructure za maana kinoma.
View: https://twitter.com/GodwinTOKO/status/1730271610785923354Ya mkandarasi iliwatoa povu uyu alikosa video ya trc akaweka iyo alooooo malalamiko nation
Achana na faida we jibu QN kwanza yenu inatembea na ngapi au upo apa kushoborokeaSiku yenu itatengeneza faida kuja uniongeleshe
Wapi KISUMUSUMU
Siku yenu itatengeneza faida kuja uniongeleshe
Flyover pia inakuja! Kuna barabara kutoka daraja la Kigongo Busisi kuja mjini inaenda kuwa na flyovers zisizopungua mbili!Mwanza ilibezwa kwa kukosa zile culvert wanazoziita flyover . Lakini sasahiv mji unapata infrastructure za maana kinoma.
Tunapohangaika kukiimarisha ninyi mpo na kiingereza, mkiona kinakubalika mnajipachika sasa Arabic language,aibu yenu nyang'auTanzania is the only African country that want to force Arabic language (Kiswahili) to be theirsπππ