azam tv ni kiboko ya africa mashariki na katiπππππππEdward Wanjala wherever you are,i know you're among those blind patriot kenyans who don't like azam tv only b'se the owner is a tanzanian.so this post is for you.
azam tv tibiim!! (in babu uwino voice).
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
white elephant ni vitu kama bagamoyo, miradi ya karatasi, kwa ardhi kichaka. kama hauoni construction going on basi tafuta miwani, huenda ukawa short au long sitedyani 16yrs hata crane sijaonaπππππ unaniambia slow but sure labda nikwambie lugha nyepesi hzo projects zilishakufa na zishageuka kua white elephant so kama utaendelea kutuonesha renders itakua poa
kwan wewe unataka kuniambia flyover ya kwanza nairobi ilikua mwaka gani????
Nikikuonyesha parking ya malls za kericho ama eldoret utashangaa sio emptyVaa miwani ya mbao ndio utaonaππππ
It looks like malindi...Mombasa imepita hapoColloh, Aimlee, na wakuda wengine from 254 this is mikocheni area,sehemu ndogo ya mikocheni...
Tena diesel mbichi mafuta yatakuwa yamechakachuliwaNaona moshi wa diesel [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
bagamoyo inaanza kazi 2020 kwa taarifa kama ulikua hunana kazi inaendelea kwa speed zotewhite elephant ni vitu kama bagamoyo, miradi ya karatasi, kwa ardhi kichaka. kama hauoni construction going on basi tafuta miwani, huenda ukawa short au long sited
Ukiskia MTU akuambia Dar hainusi level ya nai tafakari kwanza. The 1st flyover located on Mombasa Rd near South C was built with the estate at 1979. hivi sasa kuna around 60 flyovers in Nairobi alone, with around 15 interchanges.
Dar ndio mwaanza kujenga flyovers, when people here are sourcing funds for a 450km motorway juu hizi 25-50km ones are becoming small
Ntajitahidi kutafuta aerial view ya sehemu kubwa ya mikocheni. .....nataka comment sio comparison. ..mikocheni n malindi wap na wap[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]It looks like malindi...Mombasa imepita hapo
moshi mweupeππππππ wamechakachua mafutaTena diesel mbichi mafuta yatakuwa yamechakachuliwa
Yani ata gari moja hakuna...good mall but no customers..
embu tuonyeshe hivyo walivyotuzidi ili tuvione na tuvijue...na sisi tukuonyeshe tulivyowazidi wakenya.Jamani wabongo hatutakagi kukubali kua Kenya wametuzidi kwa battle hii mh!, si sahihi.
60 flyovers in nairobi and 15 interchange ziko wapi tumalize kwanza hapoππππππππ alaf tuendelee sasaKile nakubali dar katupiga chenga no BRT tu. Ila yenyewe ndogo, yasafirisha watu kidogo kuliko the 5th largest commuter bus company in Nairobi. But it is a step towards the right direction
Leta aerial viewhahahahaha.... endelea kuhesabu magari pia usisahau kuhesabu idadi ya watu wanaoingia kufanya shopping.
wee dogo reasoning yako ipo down sana...kila mara hua nakwambia elimu yako ya kikenya haijasaidia kukuondoa katika kundi la wajinga.[emoji23] [emoji23]
hvi wewe hoja yako ni mall au watu mbona sometimes sikuelewi ππππππNikikuonyesha parking ya malls za kericho ama eldoret utashangaa sio empty
Tz watu huenda supermarket kununua bidhaa na kisha kurud nyumbani sio km nyinyi washamba huenda outing kushangaa watu kwenye malls kuna mkenya nlimuuliza ratiba yake ya Wknd akaniambia kutembea kwa Mall nkagundua kwa ushamba huo unaweza kuona watu wengi ukajua wateja kumbe wazururaji kupiga selfies kujaza instagramNikikuonyesha parking ya malls za kericho ama eldoret utashangaa sio empty
Hii ni the largest part of thika super highway with 16 lanes....sidahani ata by 2030 mtakua na 16 lanes...60 flyovers in nairobi and 15 interchange ziko wapi tumalize kwanza hapoππππππππ alaf tuendelee sasa
BRT sio size yenu inamiliki fleet ya 600 buses na kila bus moja inachukua vichwa 180 na mwaka huu wanaingiza bus zinazotumia gas