Ujamaa ndiyo umefanya leo hii tuna BRT nyinyi hamna.
Ujamaa ndiyo umefanya leo hii tuna electrified railway nyie hamna.
Ujamaa ndiyo umefanya leo hii tuna cable stayed bridges nyie hamna.
Ujamaa ndiyo umefanya leo hii tuna bwawa kubwa la umeme na tutawauzia umeme mtake msitake.
Ujamaa ndiyo umefanya leo hii hatuna ukabila kama nyie.
Ujamaa ndiyo umefanya tuna low death rate than you.
Ujamaa ndiyo umefanya tunaishi maisha marefu kuliko nyie.
Ujamaa ndiyo umefanya leo hii tuna chakula cha kutosha nyie mna njaa.
Ujamaa ndiyo umefanya leo hii tuna best health services than you.
Ujamaa ndiyo umefanya leo hii hatuna ma slums kama nyie π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£