Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KFC is for the poor my friend, unless you are poor and haven't realised it yet. You think by eating at KFC eti umepiga hatua!!
Wasiwachoshe πŸ˜‚ Kuna Mkundustan humu alishare receipt anakula samosa Supermarket (sehemu ya bakery nadhani) sijui buku jero ile tena kwenye sahani ya plastic na akajigamba sana maeneo hayo yapo Kenya tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Mnapata wapi nguvu ya kujibizana na watu wa aina hii?
 
Since Jana usiku huko na hasira mbayaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Is it because of exposing how cheap those Chinese boxes are? Anyway, elsewhere Tanzanians are salivating for Kenyans brands.

 
Since Jana usiku huko na hasira mbayaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Is it because of exposing how cheap those Chinese boxes are? Anyway, elsewhere Tanzanians are salivating for Kenyans brands.

View attachment 2826458
So who is tonny macmuga ?🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Unataka kulazmisha tununue mabanzi yenu wakat chinnese modern bus ndio bus zinasumbua dunia nzima sasa hvi πŸ˜…πŸ˜…

Qatar world cup imetumia modern chinnese bus alaf ww unaongea nn hapa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…


Watu wanasoga mbele nyinyi munarudi nyuma 100 yrs 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ati SGR stalled!
Kenya chips huwa zinapikwa ovyo ovyo hata sehemu ambazo sio salama ndio maana wanaziita chips mwitu.
Chips zao chafu sana na hawajui kuzipika.
Chips zao ni chafu.
 
Nchi kama saud arabia pamoja na utajiri wake wote wanatumia modern chinnese bus nitajie nchi gani haitumii modern chinnese bus πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… eti zwazwa anaongelea isuzu europe wakat chinnese bus ziko dunia nzima na watu wamekaa kimya
 
Ati SGR stalled!

Kenya chips huwa zinapikwa ovyo ovyo hata sehemu ambazo sio salama ndio maana wanaziita chips mwitu.
Chips zao chafu sana na hawajui kuzipika.
Chips zao ni chafu.
Zwazwa anasema nn eti SGR stalled wakat tunajenga over 2000km of modern SGR πŸ˜…πŸ˜…

Wivu unawaunguza mpaka maini
 
Zwazwa anasema nn eti SGR stalled wakat tunajenga over 2000km of modern SGR πŸ˜…πŸ˜…

Wivu unawaunguza mpaka maini
Kipande cha Morogoro Dodoma kazi zimebaki chache sasa kampuni inapunguza wafanyakazi maana kazi zimebaki chache ikapelekea wafanyakazi wanaopunguzwa kufanya mgomo.
Kingine wafanyakazi wengine wana migogoro na kampuni wala serikali haihusiki.
Serikali haidaiwi chochote.
 
Wivu tu unawasumbua 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kwani wenye walinunua hizi buses sio watanzania?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Can you compare those buses with the fake ones you have in Tz?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Prove ni fake nifunge acc sasa hvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…