Hivi Chuki zako Zinakusaidia nn Mbona kama Ni ME lakini Unamambo ya KE!https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/nhctanzania/posts/pfbid0us7faKKazMDxdtVhmFuoCy2dxRyAfYDUiE1LbaUmcbSTaEFcbhqCJ45Bbn8cT3BEl
MY TAKE
Kule Chato nyumba 17 kati ya 20 hazijapata wanunuzi, zinatafuta wateja! Hime hime Sukumagangs!!
Haya matakataka akileta huku atapanda mwenyewe 😂😂😂Eti nyamira nimecheka sana hzi bus nazijua sana hua nakutana nazo migori zinaenda nairobi 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
View attachment 2824305View attachment 2824306View attachment 2824307
Hiyo energy alionayo ya kutetea hizo takataka hata wakundustan wenzie hawana ndio maana wamesepa 😂😂😂Yani nimecheka sana tena sana na leo ndio nimeamini munasafari ndefu sana kufika tanzania ilipofika leo 😅😅😅😅😅😅😅😅
Kuna ubaya ku-post hasara alizosababisha? Hamna chuki hapo! Ni upeo wako mdogo wa kutong'amua kilichowekwa!Hivi Chuki zako Zinakusaidia nn Mbona kama Ni ME lakini Unamambo ya KE!
Kuna ubaya ku-post hasara alizosababisha? Hamna chuki hapo! Bali ni upeo wako mdogo..Hivi Chuki zako Zinakusaidia nn Mbona kama Ni ME lakini Unamambo ya KE!
Waongopee wakunya wenzako jana nilikuambia huna exposure yoyote unasema maneno pasipo na ushahidi wowote ili mradi uonekane unajua the truth huna lolote! Nairobi has nothing on Cape Town a. K. A mother city hii hapa! nimepiga picha mwenyewe nimefika joburg Pretoria na Durban picha ninazo!Yes Nairobi is in the same level with those cities.
kuna muda tunatakiwa tuangalie reality wenzetu wana believe hao kwenye kila kitu ni namba 1 wanasahau Tanzania ya sasa imepiga hatua kubwa sana acha tuzidi kuwa enjoy sister!Kulikuwa na Basi Kama Hilo Saratoga Mwaka 2012 Likitokea Kigoma Kwenda Urambo Tabora
Nilikuwa natokea Kigoma bwana Nikapewa Tiketi Kuja kuona gari Lenyewe Nilichoka Na Kujihisi Vibaya sana
Sasa leo hii 2023 nipande hilo basi kabisaa!!
🤣🤣🤣 We jamaa kama unataka kutaja eti Magufuli kasababisha hasara na hivyo vijumba 17 vya NHC huko ushagoo.. vipi kuhusu miradi ya nyumba ya NHC, TBA, NSSF n.k kujengwa maeneo ya porini ambako hakuna tija.? Mfano ule mradi wa nyumba wa kijichi. Which is still empty .. this one 👇Kuna ubaya ku-post hasara alizosababisha? Hamna chuki hapo! Ni upeo wako mdogo wa kutong'amua kiliwekwa!
Hata ukimwambia mtu hii ni US au England anakuelewa bila doubt. And these are the tier 1 African Cities. Hapo miji mingine inaweza kaa in the same sentence labda miji ya Morocco eg Rabat & Casablanca pamoja na new Cairo. Hii miji ndio unaeza taja kuwa ni world class Cities. Kwa research yangu nilioifanya ...Waongopee wakunya wenzako jana nilikuambia huna exposure yoyote unasema maneno pasipo na ushahidi wowote ili mradi uonekane unajua the truth huna lolote! Nairobi has nothing on Cape Town a. K. A mother city hii hapa! nimepiga picha mwenyewe nimefika joburg Pretoria na Durban picha ninazo!
Mwenye akili ataelewa
1.Cape-town has an organized transport system both Brt and trains fully functioning
2.cape-town is clean with organized garbage collection
Etc etc View attachment 2824722View attachment 2824723View attachment 2824724View attachment 2824725View attachment 2824726View attachment 2824727View attachment 2824727View attachment 2824728View attachment 2824729View attachment 2824730View attachment 2824731View attachment 2824732View attachment 2824733View attachment 2824734View attachment 2824736
Mkuu to be honest cities za South Africa zina negative sides kama vile insecurity uwizi wa mabavu,high jacking prostitution etc licha ya hayo yote Nairobi haiwezi kushindana hapo maybe in skyscrapers!Hata ukimwambia mtu hii ni US au England anakuelewa bila doubt. And these are the tier 1 African Cities. Hapo miji mingine inaweza kaa in the same sentence labda miji ya Morocco eg Rabat & Casablanca pamoja na new Cairo. Hii miji ndio unaeza taja kuwa ni world class Cities. Kwa research yangu nilioifanya ...
mmehama sasa kwa huyo wa tanga hahaTahmeed is not owned by one person. The major shareholder of Tahmeed who owns the majority of buses is in Mombasa, huyo wenu wa Tanga is just a joyrider.
Kwa wale waliosema Tz hatujengi tena magorofa marefu. 🤣🤣🤣.
Kwa pembeni hapo TRC na wao wapige unyama
Iyo ni picha ya zamaniKulikuwa na Basi Kama Hilo Saratoga Mwaka 2012 Likitokea Kigoma Kwenda Urambo Tabora
Nilikuwa natokea Kigoma bwana Nikapewa Tiketi Kuja kuona gari Lenyewe Nilichoka Na Kujihisi Vibaya sana
Sasa leo hii 2023 nipande hilo basi kabisaa!!
Litajengwa wapi? Mkwepu au Samora?
Shida Yako you don't understand what's being said. Must you be this stupid? When I said "you" sikumaamisha wewe tumbili. I meant "you" of prural.Roasted me with what truth?
I dont even remember if we had a battle. Sinaga hata mda na nyie
Unajipa umuhimu kwa mtu na mtu mwenyeww hata hakumbuki chochote
Hata hujui bus ni nini😂😂😂. There are Fuso buses kama hujui, as long as the chassis ni ya bus then it automatically become a bus. You Tanzanians are very stupid.Sasa we matako hizo zenu originally ni bus au mafuso? 😂😂😂😂