Hio thread nimeshapitia siku nyingi bro wala usipate tabu hakuna thread ambayo mm sijapitia wewe endelea kutuonesha renders acha hasiraππππpitia hiyo thread pole pole ukitaka link ya AVIC,Montave,prism,etc naeza kuwai
hata nimepitia pitia picha za luanda...ingawa ni mji mdogo, kuna sehem nzuri sana...panakaa ulaya...Karibu sana uliko wewe tushatoka kitamboππ
wewe unakuaga unapenda dar sana hadi hautaki ukweli ata moyoni mwako najua unaamini dar kubwa kushinda New york...but ukweli ni kua dar uko league moja na mombasa na maputoHiyo licha unaweza linganisha na picha ya Unguja - Zanzibar maeneo ya forodhani. Haiwezi karibia Dar. Ondoa ushamba.
hata Mombasa ya 1990 haiwezi kaa mbaya hivi....Huu mwaka gan
No TPA
No PSPF
NO Uhuru Heights
No RITA tower
No BRT
I guess ilikuwa 2006
Ni sehemu moja tu pembezoni mwa bahari ndio pamejengeka sehemu zingine ovyo kabisa kamji kadogo sana tena sanaππππππhata nimepitia pitia picha za luanda...ingawa ni mji mdogo, kuna sehem nzuri sana...panakaa ulaya...
Luanda haiwez Darhata nimepitia pitia picha za luanda...ingawa ni mji mdogo, kuna sehem nzuri sana...panakaa ulaya...
Mombasa kufkia dar ilipo subiri 2060πππwewe unakuaga unapenda dar sana hadi hautaki ukweli ata moyoni mwako najua unaamini dar kubwa kushinda New york...but ukweli ni kua dar uko league moja na mombasa na maputo
mimi sipitiagi za tz sana labda nijaribu leo though najua projects ni kidogo kama za west pokotHio thread nimeshapitia siku nyingi bro wala usipate tabu hakuna thread ambayo mm sijapitia wewe endelea kutuonesha renders acha hasiraππππ
Mkuda anaipenda hii picha ya mwaka 47hahaha....shocked indeed.
hahaha....shocked indeed.
Bro napenda kuona renders plz postππππmimi sipitiagi za tz sana labda nijaribu leo though najua projects ni kidogo kama za west pokot
ndio nimegundua...ila hapo baharini paliojengka pameshinda Dar kwa mbali sanaNi sehemu moja tu pembezoni mwa bahari ndio pamejengeka sehemu zingine ovyo kabisa kamji kadogo sana tena sanaππππππ
Mm nakupa siri hakuna mkenya yoyote hata siku moja atakubali maendeleo ya tanzania hayupo na hatatokea wazoee tuπππππTukipost za nairobi zenye side ya kibera na CBD mnakua na maneno mob Kama lecture la physiology
dar ndio itafikia mombasa 2030 sai ata port ya MSA kubwa mara 3Mombasa kufkia dar ilipo subiri 2060πππ
Pameshinda nini wakat nakwambia ni sehemu ndogo sana hata posta dar ni kubwa sana ππππ tena ina density kubwa kuliko hapondio nimegundua...ila hapo baharini paliojengka pameshinda Dar kwa mbali sana
We expect more shock especially with this rapid transforming Dsm,hahaha....shocked indeed.
hahaha....shocked indeed.
Port kubwa mara tatu alikwambia nani??? Labda nikupe taarifa dar port iko under huge expansion, mombasa imeshindwa kupambana na zanzibar kwa hotel dar itaiwezea wapi????millionares tafuta data sahihi kama nilivokwambia awalidar ndio itafikia mombasa 2030 sai ata port ya MSA kubwa mara 3
sgr tayari ipo msa
tourist wengi msa kushinda dar(tourist tz huenda kilimanjaro,serengeti etc hawatambui darslum)
suburbs na hotels ata nusu hamfikkii Msa
Gdp yenu na Msa ni sawa
millionares Msa 1000 dar 1200
2060 Unasema ni Dar kufikia Nairobi bila maendeleo yyte kuendelea nairobi sai
aisee wewe kwa dharau kibokomtanzania wa kidato cha nne anapigwa kiingereza na mKenya wa nursery...nani mshamba sasa?ππwewe hapa hata najua nikakuambia upige sentensi moja tu nitazikwa kesho sababu ya kicheko...wazee wa broken english..washamba wa Bongo town...kisha usisahau vile vyuma vyenu vya chang'aa mnazoziita ndege...πππ
kisha hii cattle dip yenu