Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu huu si uchale huu, anakwambia The Wilder, the wilder yenyewe sasa 🀣🀣🀣🀣


The Prince 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣


The elder aka the defender 🀣🀣🀣


Huricane 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣


Naomba msicheke kuhusu barabara, hiyo tumezoea huko Kenya, barabara kama ulimi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Basi basi inatoshaa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 itoshe kusema wewe ni kichaa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
We jamaa Mpumbavu sana sijawahi kuona, yaani unaweka single axle versus dual axle halafu unajiona mjanja? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Despite ni matakataka yote unayoweka from the beginning lakini single axle ni takataka iliooza mara 5🀣

 
Jamaa bus zote alizoweka humu nazifananisha na zile bus za kitambo huku Tanzania kama hili hapa linaitwa Chaula πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£

Nowadays hata Chaula wamenunua bus za kisasa zinazoendana na mazingira yaliyopo Tanzania kwa sasa mana humpandishi mtu kwenye bus single axle, hata Shambalai ya Tanga nao wameshabadili bus, hapandi mtu huo uchafu wa Kenya huku kwetu, tushatoka huko, New Chaula πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£
 
And this explains why these Tanzanian companies perform so poorly compared to Kenyan companies. For instance, Equity bank makes more profits than the total combined profits of the five leading banks in Tanzania!
 
And this explains why these Tanzanian companies perform so poorly compared to Kenyan companies. For instance, Equity bank makes more profits than the total combined profits of the five leading banks in Tanzania!
Nyoko Hamna kitu kama hicho!
 
Maintainance ndio hamjui.
Maintainance how? Mlango unafunguka kama wa nyumba? Finish ya ndani wanatumia vitambaa vya sofa, body za vyuma vya ujenzi, yaan square pipes nk (muulize ahmed baada ya ajali waliona nn), kuna miaka tanzania tulipambana sana na bus zenye chasis za maroli hizo zote zina chasis za roli na kwetu huwezi pata usajili. Ndani zina siti za ajabu ajabu, kuna zile zenye body pana kuliko upana wa tairi za mbele, muulize raqeeb na gari zake sasa hivi zimebadilishwa route zinaingia vijijini huko sababu route za mikoa haziwezi tena kukimbizana na mashine za kisasa.
 
Hilo lidege lenyewe haliruki, ni la mafunzo tu. Halafu hiyo picha siyo, au unabisha?😁😁
Kwani wewe ndio unajua kuliko Senator mwenye amesema ndege linafanya kazi? Or you are just repeating what your fellow idiots said here?
 
Wewe ndio fala kuliko kila mtu. Unaongelea trucks while showing a picture of a bus chassis, are you really okay upstairs. Garissa route is always flat so no need of having double axles. Sometimes I think you should always keep quiet kama hujui kitu.
 
Basi basi inatoshaa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 itoshe kusema wewe ni kichaa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Kenyan bus industry is much superior kuliko those fake Chinese things mko nazo hapo kwenu.
 
Kwani za Tanzania ndio za mzawa? Ama unadhani hatujui New Force ni ya mchina?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Sasa toa EasyCoach alafu utuambie ingine ya mhindi ni gani. Mimi out of 20 bus companies in Tz I can count 17 that are owned by non locals.
Nani mwenye bus nyingi kenya zaidi ya easy coach 😁😁😁😁😁 hebu ntajie

Modern coast ya mpakistan na mlimuua huko mombasa niendeleeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
I can see you are impressed with the buses and the nicknamesπŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Nani mwenye bus nyingi kenya zaidi ya easy coach 😁😁😁😁😁 hebu ntajie

Modern coast ya mpakistan na mlimuua huko mombasa niendeleeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Modern Coast is not even among the top 10 currently. Why are you dreaming? For EasyCoach, they have more buses kuliko top 5 Tanzanian bus companies combined πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ebu tuonyeshe financial statement πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚. Show us revenue against the expenditure. If you are a man enough with big ball I dare you to do itπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Uoneshwe ww kama nani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Na kwann unaumia tulikwambia ATCL ni swala la muda tu na kilichokua kinaitia hasara ni madeni ya nyuma sasa yameisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…