ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,348
- 89,768
Hii site, club bilicans na pale kona ya kuingia station zimekaa wazi for ages now, wazijenge sasa otherwise walivunja existing buildings kwa sababu gani sasa?
Roho kikorosho ya JPM ilivunja Club Bilicanas na Much more!Hii site, club bilicans na pale kona ya kuingia station zimekaa wazi for ages now, wazijenge sasa otherwise walivunja existing buildings kwa sababu gani sasa?
Siasa za roho mbaya za Mwendazake ππHii site, club bilicans na pale kona ya kuingia station zimekaa wazi for ages now, wazijenge sasa otherwise walivunja existing buildings kwa sababu gani sasa?
Ugali na teargas ndio inatamani ukufe sio mm πI know unatamani nikufe. At least Mimi nikikufa saa hii I'll be buried in my country. Wewe ukikufa utazikwa kwa nchi yenye hata sio Yako. Kwanza utazikwa rapped in a gunia just like a dog.
DTB ni yetu sisi nye nye nye π π π π π
Mbona mumuite Zakayo kaunda uongoman wakati wote ni wale wale!Na imagine ni CEO wa Equity. Hapo kwenu CEO wa bank kubwa Zaidi lazima awe Mzungu, Mwarabu, Mhindi, Msauzi ama Mkenya.π