Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,172
- 107,748
Benchmarking nyumba ya Mkoloni? Miaka 60 hamjaweza kujenga statehouse wenyewe! Tu-benchmark kwa Kenya a shithole country?The road leading to State House Nairobi
View attachment 2821120View attachment 2821124View attachment 2821126
The road leading to State House Dodona
View attachment 2821130
Look at the environment around that mosque they call State House. Jangwa tupu. They should come to Nairobi for benchmarking
kilaza ni mimi ama ni huyo kiongozi wenu?Wewe kilaza wa vilaza nilishakuambia unatafuta attention. Endelea
huwa hatuna roho kama yenu ni destur yetu hio jombaaKwa hivyo kiufupi ni kwamba unakubaliana na maoni kwenye hizo comments?
ndipo mnapojiliwazia sioPia Dubai kwa mwarabu ni city.., usilie dogo, zoea, ni hali ya anga tu.,., 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2820908
View attachment 2820907
View attachment 2820909
Kweli kbsaNdivyo ilivyo mpaka leo cha ajabu hao Oryx walipewa hela kwa mgongo wa serikali kununua AGIP.
Na Agip ilikuwa ya nani?Ndivyo ilivyo mpaka leo cha ajabu hao Oryx walipewa hela kwa mgongo wa serikali kununua AGIP.
Wewe kwanza ndio mwenyekiti wa kamati ya roho chafuhuwa hatuna roho kama yenu ni destur yetu hio jombaa
Kiongozi kilaza ni yule alitafuta matibabu nchi jirani on his death bedkilaza ni mimi ama ni huyo kiongozi wenu?
leta ushahidi wa picha na hospital hapa nifunge acount sasa hivi.Kiongozi kilaza ni yule alitafuta matibabu nchi jirani on his death bed
Alafu nyinyi mkakajenga mosque in the middle of the desert and called it statehouse? Kisha mnajiona mmefika?Benchmarking nyumba ya Mkoloni? Miaka 60 hamjaweza kujenga statehouse wenyewe! Tu-benchmark kwa Kenya a shithole country?
we mnajijua vyema kila kizuri cha jirani yenu ni chenu na ninyi nio mnavyo vizuri majirani tuliwavumilia ila sio kwa kipindi hiki.Wewe kwanza ndio mwenyekiti wa kamati ya roho chafu
Nitaletaje picha wakati nyinyi mliaminishwa na viongizi wakuu serikalini kwamba anachapa kazi wakati in real he was he was breathing his last in a foreign land?leta ushahidi wa picha na hospital hapa nifunge acount sasa hivi.
Wapi yenu?Alafu nyinyi mkakajenga mosque in the middle of the desert and called it statehouse? Kisha mnajiona mmefika?
Na mtaendelea kuvumilia vilaza nyie 😂😂we mnajijua vyema kila kizuri cha jirani yenu ni chenu na ninyi nio mnavyo vizuri majirani tuliwavumilia ila sio kwa kipindi hiki.
basi ficha upumbavu wako ndugu zako wako hapa mhimbili na mloganzila kibao na hamna maneno tumekwambia.Nitaletaje picha wakati nyinyi mliaminishwa na viongizi wakuu serikalini kwamba anachapa kazi wakati in real he was he was breathing his last in a foreign land?
Ndio hii hapaWapi yenu?
Kama kuna ndugu na dada zetu huko basi ni kwa ajili ya kuwapa afueni ya matibabu kwa kuwa hamjiwezi kwenye hiyo sekta. Just the same way tunawasomesha walimu wenu hukubasi ficha upumbavu wako ndugu zako wako hapa mhimbili na mloganzila kibao na hamna maneno tumekwambia.
usisahau ni kweli mnajiweza si unakumbuka wanafunzi wa sudan walikuja wapi?Kama kuna ndugu na dada zetu huko basi ni kwa ajili ya kuwapa afueni ya matibabu kwa kuwa hamjiwezi kwenye hiyo sekta. Just the same way tunawasomesha walimu wenu huku
Kujiliwaza rukhsaNje ya statehouse Nairobi kuna Sego slum mbona huionyeshi?
Sego: State House slum where there is no ‘ngeta’
Sego: State House slum where there is no ‘ngeta’www.standardmedia.co.ke
Sudan na Kenya wapi na wapi?usisahau ni kweli mnajiweza si unakumbuka wanafunzi wa sudan walikuja wapi?