Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,173
- 107,750
Tuna wachezaji wengi sana nje, wengine wengi wanapelekwa, huwa wanapitishwa pale JNIA, na hivi tunavyoelekea wachezaji wote wenye asili ya Tanzania watavutiwa kuchezea stars, we ngj issue ya dual citizenship ikubalike, hawa kina Rashford ni watanzania hawa, huyo Marcus Rashford ni mpemba wanasema anaitwa Rashidi Makame ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
kama nlivyokupuuzeni ninyi na visalia vyenu vya uongoWewe ni attention unataka. Watu kama wewe ni wa kupuuzwa tu
Comoro timu yao ilifanya vizuri afcon iliyopita sababu ya kampeni kama hiiSafi sana, hii kampeni itazaa matunda soon, naona watanzania wengi waliozaliwa nje wanavutika na timu yao ya taifa, hii imeanza kutulipa, Tanzania ni nchi ya vipaji vya kila aina tena soka ndiyo kabisa tangu enzi na enzi ila now tuko serious kweli kweli.
Mbona wameanza political campaign bado mapema sana ??๐ ๐ ๐ ๐ ๐
CC: Mwai Sadima Dickson mwaiofhawaii mpumbavu wa Ukoo wa Sadima njoo ona chopper ya KDF ulikuwa unaringia!Matokeo ya kununua mitumba
Two crashed in same region in same day
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1726621514680938614?t=8drT1Oh07n0jl5CTvIQlRg&s=19
View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1726593568003756381?s=19
Another one ๐คฃ๐คฃ๐คฃ ๐Matokeo ya kununua mitumba
Two crashed in same region in same day
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1726621514680938614?t=8drT1Oh07n0jl5CTvIQlRg&s=19
View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1726593568003756381?s=19
Hili tatizo la kupenda uchuuzi hata sisi tunalo.muuza kuku hajuagi jinsi ya ku-create jobs! Anajua uchuuzi tu!
Waathirika na njaa wakasahau! Chopper mzee wa Sugoi hupenda kupanda!
Hiyo ilikuwa 2013. ๐๐๐Mbona wameanza political campaign bado mapema sana ??๐ ๐ ๐ ๐ ๐
๐ ๐ ๐ ๐ ๐๐๐pele limepata mkunaji
Nimeona kwenye comment mtu mmoja anauliza eti kama ni vision 2130 .? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐
Vipi kuhusu flyover pale mwenge na Morocco.? Wanaweka pia.?