Hata mm nimejaribu kuangalia ila nimekuta hvimsee,
hii jiwe katika picha lipo kisumu au lipo mwanza?...tuanzie hapo kwanza then tuendelee na debate.
BTW tuwekee hapa hilo jiwe la kisumu.
NB:
baada ya jana ku-share screenshot hapa,leo nimejaribu ku-search kenya via google earth app,nimekuta wameifuta picha ya jiwe la mwanza.[emoji23] [emoji23]
nadhani wameingiwa na aibu baada kuona tumewashtukia.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huku ni kuishiwa hoja, kwenye usafiri vitu vinavyozingatia ni;Naomba noonyeshe Termini na u specify kuwa zitajengwa ngapi
Ebu niambie vitu pretoria inaishinda nairobi?Ukumbuke tu Nairobi haifikii Pretoria kwa kila kitu...bisha nmuite t-time apa
Hakika ni ajabu mno kuiwaza ata Casablanca watu walishaachana na Maisha ya kishamba mnayoishi apo Nairobi...wale wanausafiri wa ulimwengu wa kwanza nyie mko na matatu bado....
Sasa hivi ni kuua nyang'au kwa rungu tu no way.wana upuuzi sana.this is the unique stone monument kenyans on google earth tried to allocate it's in kenya and immediately removed it after my comment in this thread...shame[emoji23]
the truth is the famous stone is
situated in mwanza-Tz not kisumu,kenya.
this is among the images google earth will show you if you search mwanza.
and this is what google earth showed me( yesterday) when i searched kenya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23][emoji23] busted.
ndio maana nikakuambia mwaka wa 2020, tayari Nairobi itakua na light rail pamoja na bus lanes..Pretoria hamna chochote, pengine miji kama Johannesburg, Durban na Cape...Casablanca ni mji flat... hamna hata skyscrapers za maana ila zipo light rails na BRTs pamoja na stadium za kisasa..Casablanca kumejaa tu majengo meupe ya kiislamu....BTW, Nairobi na Luanda tu ndio kuna majengo marefu ya kisasa yanayojengwa wakati huu...nyie hata Luanda tu hamuioni with ur fishing LDC villageUkumbuke tu Nairobi haifikii Pretoria kwa kila kitu...bisha nmuite t-time apa
Hakika ni ajabu mno kuiwaza ata Casablanca watu walishaachana na Maisha ya kishamba mnayoishi apo Nairobi...wale wanausafiri wa ulimwengu wa kwanza nyie mko na matatu bado....
Oh My God, this is how your JNIA airport looks like from the front? Jesus! afadhali soko la kariakoo...cattle dip hiiHatukamati ng'ombe wa kenya pekee mpaka nje ya africa
View attachment 634848
Pwahahahaa eti bullet trains... tafta daktari wa akiliHuku ni kuishiwa hoja, kwenye usafiri vitu vinavyozingatia ni;
1)Safety
2)Comfortability
3)Speed
4)Reliability
Sasa wewe umeshikilia vituo, kati ya hayo mambo manne hapo juu, wapi mchango wa vituo?, our train is very modern and its operation must and shall be the same, no time will be wasted by passengers at railway stations like what is happening in Kenya, hatupotezi pesa nyingi katika kujenga vituo vya kifahari badala yake tutanunua bullet trains za kifahari
ndio maana nikakuambia mwaka wa 2020, tayari Nairobi itakua na light rail pamoja na bus lanes..Pretoria hamna chochote, pengine miji kama Johannesburg, Durban na Cape...Casablanca ni mji flat... hamna hata skyscrapers za maana ila zipo light rails na BRTs pamoja na stadium za kisasa..Casablanca kumejaa tu majengo meupe ya kiislamu....BTW, Nairobi na Luanda tu ndio kuna majengo marefu ya kisasa yanayojengwa wakati huu...nyie hata Luanda tu hamuioni with ur fishing LDC village
my friend, the tallest buildings in EA mbili zote zipo Kenya...kisha ndio hio yenu ya kishamba inakuja namba 3Mpka mpate hayo majengo ndo muongee ..sasa hiv hamna hata over 34 hata moja wakati sisi tuna TPA 40flr ..ikumbukwe ilikuwa mpate 38flr NsSf hazina ..hadi leo hii iko stalled [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo ndiyo ukweli, japo ngumu kumezaPwahahahaa eti bullet trains... tafta daktari wa akili
do you know what bullet trains are? even Holland hakuna bullet trains...Ive been thereHuo ndiyo ukweli, japo ngumu kumeza