Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1.PPF 35 flr U/C
2.Mzizima towers A&B 35flr, 33flr
3.PSPF TOWERS A&B 35flr each
4.MNF TOWERS A&B 30flr each
5.TPA TOWER 35flr
6.RITA TOWER 30flr
Millenium tower 30flr

Izi nyumba kumi zenye floor 30 kwenda juu Mombasa mzijibu basi tumalizane naona Mombasa nayo inafananishwa na Dar kila uchao [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Mkimaliza izo tyonyesheni any Mall mko nayo apo Mombasa tafadhali
 
MNF ni 32fl each na TPA ni 40fl
 

Watakuambia mji sio majengo ni GDP na Ring Roads [emoji23]

Kama Nairobi inatembelea Kichwa kwenye hiyo list hapo juu hata baada ya uchimbaji mafuta ( Excavation) na finally construction yaani baada ya Miaka mitatu hadi minne. Mombasa je? Si itakua ulimi nje Kama ....,...........


Je Miaka mitatu na minne Dar itakua imezubaa tu hamna Jengo lingine ? Itakua ni mchakamchaka tu .

Too bad the Hunter become the Hunted. [emoji23]


Pale Mombasa nakubali eneo moja Tu, English point Marina .Ambayo Zanzibar itaifunika soon and Amber resort.
 
This is aim mall in Arusha ,
show me a any mall in mombasa better than this one or anyone hottest in mombasa raha. ..
Do yourself a favour and Google nyali centre complex mombasa... I will give you just that one.




 
kwa wale mnaofahamu vizuri geographical features za lake victoria,naomba mniambie hili jiwe maarufu linapatikana upande gani wa ziwa?,mwanza au kisumu?.
Duhh wazee wameshadanganya ulimwenguπŸ˜€πŸ˜€
 
Nyinyi mkihangaika na 30floors....sisi tutakua tukiongea kuhusu over 40,50,70 floors
 
Duhh wazee wameshadanganya ulimwenguπŸ˜€πŸ˜€
kwenye google earth kuna wakenya wameamua kaweka hiyo picha ya jiwe maarufu la mwanza kuitambulisha kenya.

ukiingia kwenye app ya google earth ku- search kenya,utaletewa ramani ya kenya na hiyo picha ya jiwe.

yaaani nilipoona nikaishia tu kucheka...hakika wakenya ni washenzi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…