Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Every part of Nairobi is changing
I promised to bring to you Part of Kasarani that used to be a slum. Now better than Masaki

View: https://youtu.be/wRM4ANsrdN4?si=MoJVQQwJxnUvPwT4
Before utaje taje masaki kwanza u need to know masaki ni hii hapa 👇when driving to Masaki 👇usiokote okote kila mtaa ukataka kulinganisha na Masaki, usilete story kama hizi .. kisa diamond platnumz ni bora zaidi ya wasanii wote sasa imekua kila kijimsanii kinachojitahidi kinataka kujitaja in the same sentence with him. 🤣🤣
 
Naukumbuka ule mjadala na baadhi walipinga ila ulikuwa sahihi kabisa.
Wachina wanataka kujenga upya Tazara pamoja na kujenga industrial parks along the way kuipa Tazara mizigo ya kutosha. Lakini bdo hawajatoa official plan, kama watajenga SGR obvious watarinovet na CGR pia ili miaka ijayo, inchi zingine zikiingia kwenye mfumo wa SGR watukute tuko tayari kwa both options.

Lets wait and see.
 
watainovet? sijakuelewa?
 
Tuna mito, bahari, maziwa kila kona, utengenezaji wa mabwawa kwa gharama kubwa ni matumizi mabovu tu ya pesa.

I stand to be corrected.
Wivu tuu unakusumbua.Wakati mko na yule Shujaa wenu mlitengeneza irrigation ipi Kwa moto na maji ya maziwa na Bahari?

Kazi inaendelea na Kwa taarifa Yako tuu Mama amerejesha ihai wa sekta ya Kilimo ,as we speak ndio kimbilio na inaongoza kivutia mikopo kutoka private sector.

View: https://twitter.com/UchumiForum/status/1724355311723593806?t=l1YlrZ6hqEg0V1fi8sa7-Q&s=19
Mwisho kuna irrigation scheme kibao zinaendelea na ujenzi na design zikiwemo zilizo na mito mikubwa na maziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…