Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana tunasema haifai kulinganishwa na Karen. Karen yote hakuna public service vehicles.

Yani mtu anaishi Masaki na anapanda daladala!!!😂😂
 
Ndio maana tunasema haifai kulinganishwa na Karen. Karen yote hakuna public service vehicles.

Yani mtu anaishi Masaki na anapanda daladala!!!😂😂
We kima, Karen ni underdeveloped mapori+ tope everywhere, masaki ni eneo liliondelea already and it's full of houses, office buildings, hotels, restaurants, malls and some retail stores ... Wafanyakazi wanaenda masaki ni wengi tu daily.. and ni taratibu za DAR kuwa na daladala routes everywhere so that to facilitate easy movement of people from one place to another, and it's that the reason we are building BRT lanes in all our major roads. Ni Tz pekee Ndio unaweza ona organization ya kiwango cha juu sana kwenye usafirishaji. Hii hapa ni kituo cha daladala feri kikiwa pamoja na kituo cha mwendokasi 👇sisi ni zaidi yenu nyie vima. 🤣🤣🤣
 
Ndio maana tunasema haifai kulinganishwa na Karen. Karen yote hakuna public service vehicles.

Yani mtu anaishi Masaki na anapanda daladala!!!😂😂
Aliyekuambia wanapanda hizo wanaishi masaki nani? Unajua makampuni mengi binafsi yako zone hiyo, means wafanyakazi plus wafanyabiashara wadogowadogo zone hiyo.

Let me tell you something, Daladala hizo zikifika masaki hazijazi kabisa zinaweza kurudi tupu sehemu zinakojazia ni CCBRT msasani, Ndugu wanaoona Wagonjwa, plus workers, na sometimes kujaza kabisa mpaka zifike Morocco.
 
Umetoa povu nyingi sana kima mwenzangu.

Kwanza kabisa, yafaa ujue kwamba Karen is an exclusive residential area. It is not a commercial area. Hakuna maofisi Karen. Ukitaka high-end estates with offices, nenda Westlands, Lavington, Kileleleshwa, na maeneo mengine.

All the other things ulizotaja zipo Karen. From hotels, malls, restaurants to retail stores lakini daladala bado hazipo Karen if that's what's needed in a place to have psvs.

Karen ni underveloped with tope everywhere?? 🤣🤣 Well, that could be another Karen but not the one in Nairobi.

At least I know and can prove where there's tope everywhere
Nyinyi vilaza should know your lanes and stick to it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…