Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani VIBERA huwa ni shameless liars, wana courage ya kusema uongo wa ajabu kabisa hadi levels za Kimataifa. Unakuta kamtu tena maarufu kabisa kanadanganya umma wa dunia eti Olduvai iko Kenya, tena kanaongeza nyie wote humu ni Wakenya……yaani dunia nzima tuwe Wakenya hii dunia si ingekuwa inanuka mavi left right and center? Sasa ona uongo kama huu, eti Nairobi is the first on the list kabisa, Yawa…….!!!

Anyways, hata siwalaumu akina Ruto kuendelea kuwapiga fix hawa majuha, nchi mzima wanashindana kwa uongo tu, mpaka viongozi wa dini wanadanganya hadi wanawaua…….such a shameful people!!
 
Hii hapa road to masaki ukiwa unatokea Posta👇ukivuka tu hilo daraja unakutana na hii view 👇.. hiyo ndio masaki mwaiofhawaii. Nicxie. Reborn Ktb. Kimbg. Hakuna mtaa wowote hapo ukunyani unaoweza kuwa competitive to masaki, ikiwa hii ndio Karen 👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hizi si ni jokes kabisa.. 🤣🤣🤣 Ni SAWA na ulinganishe marekani to Vietnam. 🤣🤣🤣 Masaki ndio the most developed suburb in EA no doubt. Utake ni hivyo, usitake ndio hivyo.
 
Looks exactly like my village. Ushagoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…