Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie kwenu hizo ni gari za anasa na ndio maana roads zenu ziko covered na na gari nzee, gari za kifahari wanaendesha wanasiasa wkt huku kwetu wengi wenye gari hizo ni wafanyabishara. Thus y umemtaja sonko na ukitaja mwengine atakuwa ni uhuru au mtoto wa Ruto 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tofauti ya Dom na miji mingine ya EA ni usasa, miji yote mikuu ya EA imechoka na ina plan mbovu iliyopelekea kuwa na mpangilio mbovu ila Dom inakwenda kuuheshimisha huu ukanda wa watu maskini wa EA, ndiyo maana huwa nasema Tanzania inapaswa kutambulika kama nchi inayotoka kusini mwa Africa.
 
LDC n yule bado anatumia jengo la Mkoloni kama alivyoliacha! Hajaboresha hata choo hapo Ikulu!

Sisi tume-extend wing na kujenga Kikwete Hall Ikulu yetu na tukajenga mpya Dodoma!
 
Je, hii inaondoa ukweli kwamba mna njaa?
Inaondoa ukweli kwamba nyie ni vumbi Nation?
Inaondoa ukweli kwamba mna ma slums everywhere?
Inaondoa ukweli kwamba nyie ni failed state?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Akili za Kibongo ndo hizo
Lia kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
1.LDC ambayo ni Tanzania

2. Mic ambayo ni Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…