kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,264
- 5,409
Hahahaha. La kujifunza ni vipi tusikuwe kama Tanzania.Naona mitaa misafi kabisa yenye nafasi ya kutosha, wakenya mna la kujifunza kutoka Tz.
Hakuna kutafuta sababu 👇👇👇👇Picha ya 3 na 5 ni same car ya mtu mmoja. Na mimi sijasemea defender hizi mimi nimesemea lexus lx600 ya mwaka jana na mwaka huu kama hii 👇👇👇👇 niliiona moja tu dar nzima nitafutie na hii kama 5 ninye hapa 😂😂😂View attachment 2798813
Tafuta kama hio kenya alaf njoo tuongee sasa ww siunajua sana magari 🤣🤣🤣🤣🤣Sasa hizo mmiliki si geordvie mtu 1 anamiliki hayo yote. Isitoshe ma range yamejaa sana sio ishu tena ya kumtisha mtu angalau vogue kama la tarimo
HiI Editing ni kali 🤣🤣🤣Naijua vzr sana sema kumbe lamboghini urus ndio inakupa tabu 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2798405
Umejuaje kama editing hebu niambie🤣🤣HiI Editing ni kali 🤣🤣🤣
Najua ulipoitoa hii video anyway nimekubali yapo hata chuga lipo moja sema nimesahau mtaa
Mshauri mwenzako asiwe na jazba sasa🤣🤣🤣HiI Editing ni kali 🤣🤣🤣
Hzi tumeziona zililetwa kutoka italy kwa ajili ya maonyesho🤣🤣🤣🤣🤣 ww inaonekana mgeni au unajitia ujingaTafadhali tafadhali angalia hii link hapa chini ulikuwa unasema kenya hamna ferrari embu jione mwenyewe sasa. 👇👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/CylxSlvoHMe/?igshid=YWYwM2I1ZDdmOQ==
Hamuwezi kuepuka kipigo, Yanga ndiyo timu bora zaidi East and central Africa kwa sasa, hilo lipo wazi mana mpira ni mchezo wa wazi na hata msemaji wenu Ahmed Ally amekubali mziki na amesema kwamba Yanga ni bora kuliko Simba kwa sasa, mnaweza mkakamia game mka draw lkn sio kushinda.
Alafu huwa sipendi hii tabia ya wakenya kubadili I'd na kujifanya watanzania, kwani hamjiamini?1. Range velar 2023
View attachment 2798928
2. Porsche cayenne 2021
View attachment 2798929
3. G63 jeupe 2022
View attachment 2798930
4. Jaguar 2022
View attachment 2798931
Jeep new model 2023,
View attachment 2798932
Hizo range zako unazoringishia hii hapa kumbuka hata deputy president gachagua anayo.
View attachment 2798933
Oyaa soma hiyo
View attachment 2798934
Land rover defender new model kabisa hii
View attachment 2798935
Lexus lx600 oyoooo
View attachment 2798936
Waiting for range rover sport 2023 🤣🤣🤣1. Range velar 2023
View attachment 2798928
2. Porsche cayenne 2021
View attachment 2798929
3. G63 jeupe 2022
View attachment 2798930
4. Jaguar 2022
View attachment 2798931
Jeep new model 2023,
View attachment 2798932
Hizo range zako unazoringishia hii hapa kumbuka hata deputy president gachagua anayo.
View attachment 2798933
Oyaa soma hiyo
View attachment 2798934
Land rover defender new model kabisa hii
View attachment 2798935
Lexus lx600 oyoooo
View attachment 2798936
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 najua ndio maana nampeleka kama punda hviMkenya huyo achana naye msenge uyo.
Ni kama imefanywa na MS Paint.😂HiI Editing ni kali 🤣🤣🤣
East Africa's stadium 🔥🔥🇹🇿🥰❤️
Wanapaswa wajue hayo sio maneno yetu bali ni maneno ya African Football League (AFL)East Africa's stadium 🔥🔥🇹🇿🥰❤